Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni: 1. Abba 2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )...
5 Reactions
354 Replies
56K Views
Leo nimeenda duka kubwa la Target nikakuta bango la Flaviana Matata kama model kwenye brand ya nguo marekani ndani ya duka hili kubwa nikaona isiwe tabu nichukue foto kumuenzi binti yetu huyu...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Vijana tukumbuke nyumbani , hongera kwake
7 Reactions
64 Replies
3K Views
Muimba taarabu Bilal Mashauzi ameaga dunia jioni hii. Msiniulize chanzo hata mimi sijui.Pumziko jema Bilal. Moja ya kazi za Marehemu Bilal enzi za uhai wake
4 Reactions
1K Replies
146K Views
Huyu mwandishi ni binti mdogo aliwahikuandikia gazeti la Tanzania Daima kabla ya 'Miayo' na manyang'au kumkimbiza. Alitabiriwa na Anton Lusekelo kuwa asingefika mwezi may 2017. Ni muda sasa...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Mbappe kaenda zake kula bata,na team nzima washauri,walinzi,madoctor atabaka saa ngapi? Akimtaka binti yoyote yule in didy style hamna atae mzuia.
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Sean "Diddy" Combs anakabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kijinsia. Mwanamitindo wa zamani Crystal McKinney anadai rapper huyo aliyefedheheshwa aliwahi kumlazimisha kufanya ngono ya mdomo...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Huyu Dotto Magari inadaiwa ni muislam lakini ameonekana akila mbuzi katoliki. Dotto ni muumini wa dini gani?
14 Reactions
138 Replies
5K Views
MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs a.k.a Diddy amefunguliwa mashtaka mengine ya unyanyasaji Kingono dhidi ya Mtayarishaji Muziki Rodney Jones Jr, aliyedai kufanyiwa ukatili huo pamoja...
3 Reactions
49 Replies
8K Views
Kama BAKITA kweli taasisi zingine za Lugha na sanaa zinatambua na kuenzi kazi za sanaa, basi nadhani wasanii hawa walipaswa kuenziwa na ikibidi kuthaminiwa sana na serikali kwa kuwashirikisha...
6 Reactions
107 Replies
4K Views
Tiwa savage "Wanawake bila Ngono hatutoboi" 🥶🥶🥶 Tiwa Savage 🇳🇬 : " mfano Sex ingeondolewa kwenye mahusiano basi asilimia kubwa ya wanawake duniani tusingetoboa kabisa. Haya wewe hapo jiulize...
2 Reactions
6 Replies
823 Views
Mamaa wa kiuno bila mfupa. Binti machozi, Komando Jide Kuleni vyuma kidogo: https://youtu.be/mJs7rPVBRn4?si=ueTatlNOl8Z78ZRU https://youtu.be/N046uBmyZZQ?si=ks60wBXIhtUHrv8s
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Zimbwe Jr anasema huwa anatumia muda wake wa mapumziko mara nyingi kuwa na familia yake kama ilivyo pichani. Pichani ni Mr & Mrs Zimbwe Jr wakiwa katika pozi la familia.
20 Reactions
61 Replies
5K Views
Wakuu msaada mwenye ngoma ya jay moe Hili.game remix tafadhali.naiomba hapa. Mara nyingi nayoipata haipo fresh ipo sauti ya chini sana alafu biti haikimbizi vzr. Msaada jamani nayoipata ni hiyo...
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Da Dida hujambo bibie? Za masiku mingi, naona siku hizi mashallah wazidi kuwa 'mzungu-pori'....nisalimie mwanao Samira. Dada Dida, najua unanikumbuka, unamjua dada mmoja anaitwa Zanelle Ladies...
21 Reactions
431 Replies
91K Views
Habari wakuu. Baada ya pilika za wiki nzima na sikukuu hatimae wikiend imeanza au inaendelea panapo majaaliwa mpaka J3. Nipo room hapa nikaona nisikilize muziki,nikachukua flash ya dogo ebwana...
25 Reactions
93 Replies
5K Views
Nyota wa Bongo Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize amefunguka kuhusu utata uliozingira kuzaliwa kwa binti yake Zulekha Nasra. Alipokuwa anafafanulia mashabiki wake maana ya nyimbo zilizo...
7 Reactions
19 Replies
4K Views
Socialite maarufu kwenye mtandao wa X na shabiki wa muziki wa hip-hop ambaye anatrend sana kwa kuchambua wanamuziki maarufu aitwae Wakazi ametishia kuwapiga block kituo cha radio cha EFM. Ametoa...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Wasaninii Watanzani zamani walikuwa wanamtegemea Boss Ruge awape show na kila kitu Sasa hivi diamond ndo amebakia Kuna jamaa rafiki yangu ni msanii mkubwa wa Gospel alinambia kuwa diamond hadi...
6 Reactions
5 Replies
867 Views
Back
Top Bottom