Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani.
Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa rekodi nyingine imeandikwa.
Sasa Jux anaingia kwenda orodha ya wasanii waliofikisha views million 100.
Hongera sana brotherman Juma Mkambala kwa hakika enjoy ndio...
Wapenzi wa Comedian wa Teacher Mpamire na wasiyo mjua huyu mchekeshaji ni kiboko kwa kuchekesha Style anayo itumia kushekesha watu ni style nzuri sana
Kibritish chake kipo poa Sana, Kwanza hana...
HISTORIA FUPI YA MSANII BAB LEE KATIKA TASNIA HII YA MUZIKI WA BONGO FLEVA..
"Bab lee jina langu halisi naitwa "Ally Omary " kiukweli mimi kwenye mambo ya muzuki nimeanza toka mwaka 2000...
🚨
Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya...
Jopo la Mawakili wa P Didy wamepambana kuomba dhamana waliomba kuweka dhamana jumba lake la kifahara lenye thamani ya zadi ya bilioni 50 pamoja na ndege yake binafsi lakini Mahakama imekataa...
Mahusiano ya harmonize maarufu kwa jina la Konde boy na socialite Poshy Queen yanaonekana kuvunjika na mwanadada huyo ameonekana kuwa na mwanaume mwingine kwenye club night moja. Dalili za...
Kiutani utani nilisikia wimbo wa kwenye vibanda vya muziki nikiwa napita, mdundo wake ulinivuta nikazama SHAZAM kujua ni msanii gani kahusika.
Duh mkali wa singeli Misso Missonda naona kapita na...
Ni kweli naishi kwetu na sioni haya kusema naishi kwa mama yangu kwanini nidanganye? Mimi mnifananishe na kobe au kasa wale si wamezaliwa na nyumba? Kama kwenu hamkuzaliwa na nyumba haya ila mimi...
Watu wanasema sana kuhusu ile biti ya Dar Stand Up ya CHID BENZ. Ambayo ilinyongwa na Marehemu Pancho Latino ni biti kali sana,Pia Rashid alikuwa kwenye prime yake.
Zikitajwa biti alinyonga...
Kwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:
1. Abba
2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )...
Leo nimeenda duka kubwa la Target nikakuta bango la Flaviana Matata kama model kwenye brand ya nguo marekani ndani ya duka hili kubwa nikaona isiwe tabu nichukue foto kumuenzi binti yetu huyu...
Muimba taarabu Bilal Mashauzi ameaga dunia jioni hii. Msiniulize chanzo hata mimi sijui.Pumziko jema Bilal.
Moja ya kazi za Marehemu Bilal enzi za uhai wake
Huyu mwandishi ni binti mdogo aliwahikuandikia gazeti la Tanzania Daima kabla ya 'Miayo' na manyang'au kumkimbiza.
Alitabiriwa na Anton Lusekelo kuwa asingefika mwezi may 2017.
Ni muda sasa...
Sean "Diddy" Combs anakabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kijinsia.
Mwanamitindo wa zamani Crystal McKinney anadai rapper huyo aliyefedheheshwa aliwahi kumlazimisha kufanya ngono ya mdomo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.