Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,006
- 79,004
Hali si shwari kwa diaspora wetu mwanadada machachari wa kubully watu kupitia blog na mitandao ya kijamii Mange Kimambi.
Kwa wafuatiliaji wa mambo tetesi ni nyingi tokea mwaka jana kuwa Mange kaachwa na mumewe Lance na sasa wanalelea watoto tu. Lakini Mange mwenyewe amekuwa akijitutumua kuonesha mambo sio mabaya katika ndoa yao,japo ni dhahiri kwamba hakuna ndoa baina yao tena.
Leo kwa mara ya kwanza kupitia ukurasa wake wa Instagram kaweka picha akiwa ni mwenye majonzi mengi,hii ndio kumaanisha ameamua kuweka hadharani siri ya kuachwa aliyoipigania kuificha kwa muda mrefu?
Habari ya kuachwa ilikolezwa na 'ubuyu' kutoka kwa shoga yake Mange wa kuitwa Killy Janga ambaye inasemekana Mange alimpigia simu huku akilia kuwa kaachwa.
Na hii ni kipindi kile aliandika kupitia blog yake kwamba yuko katika wakati mgumu "DEEP MAWAZUUUUUU"
Ushauri wangu kwako Mange
: Huu ni wakati wa kuacha kuishi fake life,umri umekwenda sasa mama watatu. Nasikia umefanya diet ili upate kibabu cha kizungu kikusaidie kulelea watoto huko Marekani maana mambo ni magumu kwako.
Utaishi maisha hayo mpaka lini? Nyoosha mikono sasa na uwaombe msamaha wote uliowachafua kupitia mitandao ya kijamii na urudi nyumbani. Bado hujachelewa,elimu unayo nzuri na kiukweli pamoja na uchizi wako ila uko njema kichwani.
Kama kawaida,habari hainogi bila picha. Hivi ndivyo ilivyokuwa huko Instagram
Na hivi.... Matokeo ya diet ya mawazo ya kuachwa
================
17/04/2016: Mange Kimambi ajitokeza na kukanusha tetesi za kupewa talaka
{UPDATE} Juni, 2016: TALAKA YAANIKWA!
Hatimaye mjadala kuhusu Mange Kimambi na Talaka ukafikia tamati kwa kuthibitika kuwa ni kweli aliachana na mumewe anayefahamika zaidi kwa jina la Lance.
Hii picha imewekwa na mtu anayejiita Kichwapanzi huko Instagram kama ushahidi wa
Divorce Papers za Mange Kimambi ikiwa ni rasmi kuachwa na Mume wake wa Muda mrefu.
Kwa wafuatiliaji wa mambo tetesi ni nyingi tokea mwaka jana kuwa Mange kaachwa na mumewe Lance na sasa wanalelea watoto tu. Lakini Mange mwenyewe amekuwa akijitutumua kuonesha mambo sio mabaya katika ndoa yao,japo ni dhahiri kwamba hakuna ndoa baina yao tena.
Leo kwa mara ya kwanza kupitia ukurasa wake wa Instagram kaweka picha akiwa ni mwenye majonzi mengi,hii ndio kumaanisha ameamua kuweka hadharani siri ya kuachwa aliyoipigania kuificha kwa muda mrefu?
Habari ya kuachwa ilikolezwa na 'ubuyu' kutoka kwa shoga yake Mange wa kuitwa Killy Janga ambaye inasemekana Mange alimpigia simu huku akilia kuwa kaachwa.
Na hii ni kipindi kile aliandika kupitia blog yake kwamba yuko katika wakati mgumu "DEEP MAWAZUUUUUU"
Ushauri wangu kwako Mange

Utaishi maisha hayo mpaka lini? Nyoosha mikono sasa na uwaombe msamaha wote uliowachafua kupitia mitandao ya kijamii na urudi nyumbani. Bado hujachelewa,elimu unayo nzuri na kiukweli pamoja na uchizi wako ila uko njema kichwani.

Kama kawaida,habari hainogi bila picha. Hivi ndivyo ilivyokuwa huko Instagram
Na hivi.... Matokeo ya diet ya mawazo ya kuachwa
================
17/04/2016: Mange Kimambi ajitokeza na kukanusha tetesi za kupewa talaka
================Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa...
Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni Tanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye