Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mama yake na marehemu Hussein Mkieti aka ‘Sharo Milionea' .Makubwa! Mama mzazi wa aliyekuwa nyota wa filamu na muziki, marehemu Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea' amemtuhumu msanii wa...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Ni Mwanadada Mrembo anayejihusisha na Siasa za Bongo. Pia ni Memba mwenzetu humu JF; Juliana Shonza Mapendo, TANMO.
1 Reactions
54 Replies
10K Views
Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia siku ya Ijumaa 28 March 2014 imeleta maafa maeneo Kimara na Kuvunja Nyumba ya msanii wa Sauti na Muziki wa Kizazi Kipya maarufu kama Babu Ayubu, yeye mwenyewe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sio kama namdharau lakini hiki sio kiingereza cha Diamond.
0 Reactions
69 Replies
8K Views
WEMA I SEPETU kaamua kutia para kichwani sijui ndo u-Amber au niaje ndio muonekano mpya.
0 Reactions
73 Replies
11K Views
Hongera sana Dogo, dah maana unajituma sana kuhakikisha kila kitu kwenye familia kinaenda sawa.Na wewe mama lulu umezidi mtoto analalamika sana kuwa unamuomba hela kila wakati, kachoka hadi kaamua...
1 Reactions
56 Replies
8K Views
oma Makala ya mdau wa harakati za Anti-Virus iliyotumwa kwa KaribuNdani leo Alhamis saa 19:30. ovement ya Anti-Virus ilianzishwa kimya kimya na Mapacha Wa Maujanja Saplayaz baada ya kulalamikia...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
1.suma lee licha ya kutingisha jiji kwa song lake la hakunaga bado njemba hii inanyuti kwa baba yake maeneo ya kariakoo 2..barbana boy licha ya kuwa na kiki mjini lakini kidume hiki kilizalia...
0 Reactions
43 Replies
13K Views
To be successful, the first thing to do is fall in love with your work. thus why naipenda kazi yangu.. AND IKIWA BADO HUJAPATA TSHIRTS NA KOFIA ZA WASAFI NIGUSE 0762052850
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Binafsi uwa ni mpenzi wa hiki kituo cha radio (clouds FM), na uwa nafuatilia sana vipindi vyake kuanzia power breakfast hadi ala za roho. Hivi karibuni nimekuwa nikisikia sijui niite tangazo ama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
I don't usually listen to 1Fm in the morning. I actually like a lot less noise from the radio. i don't like all the shouting and hooting that takes place. But I am sure now that Lulu Saida has...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hawa kwa sehemu kubwa waliimba uhalisia wengi wao wakiimba moja kwa moja matukio yao halisi yaliyowatokea Ndio maana nyimbo zao nyingi zina hisia za kweli na uhai ndani yake na hazichuji kwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
This is a great view Michelle Obama and her daughters will surely never forget. The First Lady shared a snapshot with her girls Malia Obama and Sasha Obama visiting the Great Wall of China on...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Daz Baba, ujanja mwingi mbele giza Na Ojuku Abraham UNALIKUMBUKA vizuri lile kundi la wale vijana wa Temeke, Daz Nundaz? Nini TMK Family, hawa madogo walikuwa balaa. Kamanda ndiyo ulikuwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
  • Closed
Mbunge Kijana wa Singida Kaskazini, kupitia CCM, Lazaro Nyalandu, anatarajiwa kufunga ndoa na mrembo, Faraja Kota, katika Kanisa la KKKT Azania Front na baadaye Reception, Diamond Jubilee, kwa...
0 Reactions
69 Replies
33K Views
Huyu dada huwa anatangaza taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Ila ana maringo huyoooo!!!!
0 Reactions
75 Replies
15K Views
Baraza la sanaa Tanzania(basata) wametangaza majina ya wasanii walioteuliwa kuwania tuzo za kill music award katika vipengele 34, lakini kikubwa ni jinsi wasanii Diamond na Lady jaydee...
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Kule Uganda huyu Manzi anabamba kweli kweli. Hivi hapa kwetu Bongo Tizii nani anawafunika wenzake? Mapendo, TANMO.
1 Reactions
36 Replies
13K Views
Wasalaam Wanajamvi. Bila shaka wapenda burudani mnajua fika BASATA nini na wanafanya kazi gani.Bahati mbaya au nzuri hawa BASATA wamekuwa wakionekana wakipaza sauti zao kwenye matukio makubwa...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Kiukweli nachukizwa sana na tabia ya huyi binti anayeongoza kwa ku tweet ujinga. Siku chache zilizopita alikuwa akitumia mtandao wa twitter kumdis Mh.zitto kabwe achilia hapo alikuwa akijisifu...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…