Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.
Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa...
Yaani tokea nianze kumsikia na kumfuatilia Yeye kila siku tu utamsikia anafanya ' reference ' kuwa alipokuwa na Mwanaume fulani mara huku na kule hadi najiuliza mpaka hivi sasa ameshawahi kutembea...
Yo! I don’t care what anybody says. Zari is the truth. How old is she now? 39/40/41?
She makes 20-some year old girls look like dirt.
What red-blooded man wouldn’t want to smash that...let alone...
Rumor has it , kuwa yale mahusiano yaliyokua na tashtiti mjini, kati ya mwanamuziki benpaul na mrembo kutoka kenya , Annerlisa ambaye katokea kwenye familia ya kitajiri , inasemekana mahusiano...
Msanii maarufu ambaye alitikisa Katika kampeni za CCM akiwa na nyimbo kadhaa za kukinadi chama, ameomba internet kuachiwa ili aweze kuachia wimbo wake mpya.
Tulishaiweka CCM madarakani Sasa na...
Salute Jf.
Am tell u brother unatumia gari zuri land cruiser V8 lakini series J200 yake yakizamani bro Hilo toleo lilianza kutumika 2007 hadi 2010.
Embu jaribu kufanya upgrade basi unaonekana...
Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Ununio amethibitisha ujio wa kituo chake kipya cha redio kitakachoenda kwa jina la Madam FM.
Hayo ameyasema leo ktk kipindi cha Bongo movie roundtable pale...
Hello dear.
i just think its time to move on, leave Wasafi.
Fungua kampuni yako binafsi,
Wasanii wawe Free kuja kwako,uwatengenezee nyimbo zao.
Awe Diamond,Harmonize au msanii yeyote.
Ila...
Wanaita 'star look' right? YES!
”Leo kwenye ustaa simo kisa sina mwonekano!” ~Msodoki.
Sikuwahi kuwaza hili, japo hisia tu na kuona kila 'msanii' anahangaikia mwonekano fulani. Iwe ni msanii wa...
Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana...
Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amekumbwa na kashfa ya kungonoka na wasichana watatu tofauti na mmoja kuzaa naye, mdada aliyezaa naye anaitwa Nicole Franklin na pia...
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa...
KUMBUKIZI YA WASANII MKOANI KIGOMA.
Cliton Revocatus Chipando a.k.a Baba Levo wa kwanza kutoka kushoto enzi za ubarobaro wake, picha ya kwanza akiwa kijana mdogo kabisa, picha inayofuata akiwa...
LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU...
Kuanzia ‘siku hazigandi’ hadi ‘ndindindi’, kupita kwenye ‘wangu’ hadi ‘mambo matano’ hizo ni baadhi tu ya nyimbo kutoka kwenye collection...
Awali nitambue kipaji cha Braza K toka Kigoma,
1. Ndaro hana kipaji zaidi ya kufosi. Na hivi hamna shule mule basi unaboa Tu.
2. Hapa kati tena umejichanganya kwa kurumbembe ndo limekupoteza...
Mpenzi wa zamani wa TigerWoods, EricaHerman, amefungua kesi Mahakamani akitaka kulipwa Dola Milioni 30, baada ya kufukuzwa nyumbani walipoishi wote kwa takriban miaka 6.
Erica amesema Woods na...