Wameanza kuongea ukweli

Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
103
Kumbe hizo tuzo anakusanya Diamond ni kwa mgongo wa Davido. Ina maana hakuna hata wimbo alioimba peke yake ambao umekuwa nominated.

Ngoja niachie hapa wazee wa data waanze kuzishusha kuona kama kweli anabebwa na Davido au lah.

Kama huna data potezea
 
hv nyie mabwege hamuez nenda choon bila kumtaja na kumuwaza diamond 2shachoka mje na vitu vingne sasa duu cha kushangaza mnamwongelea vibaya mtu mzma na akili zako badala uwe na wivu wa maendeleo mwenzako anazid kushine ww uumize kichwa utatoka vp umebaki kumdis shame on you
 
Una mawazo ya kijjinga sana
 
Kumbe hizo tuzo anakusanya Diamond ni kwa mgongo wa Davido. Ina maana hakuna hata wimbo alioimba peke yake ambao umekuwa nominated.

Ngoja niachie hapa wazee wa data waanze kuzishusha kuona kama kweli anabebwa na Davido au lah.

Kama huna data potezea
kivipi sasa si ndo utiriririke..?
 
we jamaa hauoni kwama Davido ndie wa kumshukuru dai?
mi sio shabiki wa dai ila hii post imeniudhi sana
yaani hamkosi sababu za kipuuzi!
 
Acha wivu was kishoga wewe... Iwe kwa mgongo was davido au kwa mgongo wa daudi inahuuu? Kama kupokea tuzo alishapokea. Mitanzania kazi wivu tu.
 
We unabebwa na nani? Ma. ku wewe. Umeniboa Sana. Kijana was watu kutoka kwenye familia ya shida kajipigaaaa weeee kapata walau hela ya pilau na mboga 10 mezani..sasa amepewa japo tuzo kuonesha kwamba jamii ya kimataifa imetambua juhudi zake wewe unaitolea sababu. Utakufa kwa donge moyoni kisa wivu
 
Duu madame amekasirika
 
Duu madame amekasirika

Kuwa fair hata kwa roho yako...unaona hii no saw a?? Remix ya wimbo itoke kwa diamond alafu MTU aje aseme diamond amebebwa kweli?? Hata Kama ingekuwa kweli hata Aristotle sijui pilato alikiri kwamba aliweza kufanikiwa sababu ya kupitia mabega ya walio juu yake. So hakuna jipya
 
we jamaa hauoni kwama Davido ndie wa kumshukuru dai?
mi sio shabiki wa dai ila hii post imeniudhi sana
yaani hamkosi sababu za kipuuzi!

Hata mie hii post ya kumdis wa nyumbani imeniudhi....ila Davido he is more popular and successful than Daimond. Let's be honest.
 
watu ni wapuuzi na wivu unawasumbua, wimbo ni wa Diamond na hata tuzo aliyopata ni msanii wa kiume toka EA.
Jamani tuacheni wivu mtu kama kafanya vizuri anapaswa kupongezwa.
 
hv nyie mabwege hamuez nenda choon bila kumtaja na kumuwaza diamond 2shachoka mje na vitu vingne sasa duu cha kushangaza mnamwongelea vibaya mtu mzma na akili zako badala uwe na wivu wa maendeleo mwenzako anazid kushine ww uumize kichwa utatoka vp umebaki kumdis shame on you

Mijitu km hii imeshapigwa na maisha kias kwamba machungu yao ndo wameona wampunguzie diamond,wakat wao wakiendeleo kubwabwaja mpaka mipov inawatoka mwenzao anazd kupanua netwek ya kupata mkwanja, hopeless na mtakufa maskin wa akil mpaka nguo
 
Back
Top Bottom