When Flaviana Matata won the Miss Universe Tanzania pageant in 2007, she had no idea the contest she entered just for fun, would lead her down the runways of some of the world's top fashion...
Msanii anayefanya vizuri kunako bongo movie, Jacob Steven maarufu kama JB, hivi karibuni amekwaa scandal mpya ambayo imemshushia HESHIMA kama sio kumpunguzia credit ndani ya tasnia hiyo.
Msanii...
Diamond Platnumz na meneja wake, Babu Tale jana walikuwa wakihojiwa kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM na kupitia Heka Heka alishare mambo mengi ambayo watu hawayafamu
Muimbaji huyo alidai...
Modo maarufu na muigizaji chipukizi nchini, Hamisa Mobeto amejifungua mtoto wa kike. Staa huyo anayechipukia amejifungua ivi karibuni na kuwashangaza wengi kwani mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa...
Staa wa muziki ambaye pia ni modo, kanye west hivi karibuni amejikuta akikanyaga skendo ya ushoga baada ya sms zake kufumwa akimtumia mwanamitindo shoga, olivier tousteng.
Skendo hiyo imemganda...
Mbongo fleva ambaye hapati shoo hata za mchangani ana make mkwanja mrefu kuliko mpiga shoo yeyote yule kwenye gemu hii. Mdau huyu ambaye kashazama uvunguni mwa boss lady jack cliff. Hii...
Live abetter life wengi wetu tumekuwa watu wa kulalamika maisha magumu, hakuna kazi na muda mwingine tunatupa lawama kwa Mungu kwanini amekuumba masikini.
Lakini bila kufikilia kwanini...
Labda ni msanii gani wake kwa bongo fleva anakuvutia katika vipengele vifuatavyo tabia nzuri,mavazi ya heshima,kuongea vizuri na watu, hana skendo, anajua kucheza jukwaani.
Tujuzane hapa wakuu
Shahidi namba moja ambaye aliburuzwa na gari na 'Mafia' Mario Suge Knight ameonekana kumtetea bosi huyo wa zamani wa lebo ya Death Row Records na kusema kwamba, yeye hatakiwa kuwa mtu wa...
Staa wa filamu bongo,Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ameibuka na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa mil 13 alizolipiwa na staa mwenzake Wema Sepetu ili asiende jela miaka saba.
Kajala...
Lionel Richie, 65, and his (much-younger) girlfriend Lisa Parigi cut stylish figures as they arrive in Los Angeles
He might be 65 years old, but Lionel Richie doesn't look it.The chart-topper -...
Msaanii wa muzuki wa kizazi kipya (Bongo fleva) Shilole bado ana nia ya kugombea ubunge kwenye jimbo lake la Igunga, lakini anahofia maisha yake kuwa hatarini! Shilole anasema amekuwa amepokea...
Nikiwa Chalii nilikuwa namchukuliaga Snoop kama definition ya Certified G, the G's G. Mshkaji made getting faded look cool, for us wanna-be Gz. Ila Jamaa siku hizi simuelewi kabisa, hata muziki...
Jamani hivi kweli kuwa wanamziki au wacheza filamu hawawezi kutoka bila ya kupata au kutengeneza skendo yoyote ili kuweza kufahamika kwa haraka? Inasemekana kuwa skendo ndio kiki kubwa...
Msanii wa filamu matawi wa Nigeria Desmond Elliott na wengine kadha wa kadha huko wamechaguliwa kuwa wabunge.
===================
Desmond Elliot, Lai Mohammed's son, others win Lagos Assembly...
Msanii wa bongo Fleva Rich Mavoko amekanusha tuhuma za kujichubua.
Rich Mavoko amefunguka na Kusema Haya;
"Lazima tuangalie wakati hizi picha zilipigwa, hio picha nikiwa na dred Locks ni...
Nini mnataka mazee, ni among hit ninayoikumbuka sana kipindi kile cha kuharibu tape za washua unarecord bongo fleva halafu mzee akija gundua anakupa kipondo balaa lakini still unaendelea kurecord tu.
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Ala za roho Clouds Fm amebadili jina kisheria na kuanza kujiita Diva Gissele D Malinzi.
========
Sio Loveness tena: Diva abadili jina Mahakamani, sasa anaitwa...
Jambo kwenu wote.
Leo wazee wa "natuma kama nilivyopokea" wamesambaza sana habari kuwa mtajwa hapo juu katutoka.
Nimejaribu kutafuta uhakika toka vyanzo vya kuaminika kuhusu hilo suala, sijaona...