Aisee haya maisha ya mastaz ni shida,mtu unavaa fake ili ionekane upo juu,sasa hii account ya Insta nadhani ya huko majuu,ilimwumbua jamaa mpaka akadelete account akaja na mpya.
Jana nilistuka kumuona aliyekua mtangazaji wa Radio One, Amina Mollel kwenye kipindi cha Malumbano ya hoja kinachoendeshwa na ITV. Nakumbuka kwa mara ya mwisho alikua TBC na amekuwa haonekani siku...
Nigerians think kwamba matokeo yamechakachuliwa, wanahisi South Africans na nchi zote za SADC zimeungana kuwa toa kwenye entertainment Industry.
Tokea tuzo za Channel O last weekend na leo BBA...
Wasifu wa Wema Sepetu
Miss Tanzania 2006 Wema Abraham Sepetu (amezaliwa 28 Septemba 1988) alikuwa Mrembo wa Tanzania kwa mwaka wa 2006.
Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu(Katikati)
Maisha ya...
Kama Siti alivua taji la Miss Tanzania baada ya kuonekana kuna udanganyifu kwenye wasifu wake .
Na wewe tuzo ya utunzi bora mrudishie Barnaba, tuzo ya utumbuizaji bora mpelekee Diamond.
Hizo...
Kiukweli diamond yupo level nyingine kabisaaaaaa....
Leo unakuta diamond unamwita kwenye show mil 40 anakataa labda ujipange kuanzia mil 50/60 wakati hakuna msanii Tanzania anaelipwa hata nusu...
Latest news ni kwamba majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTV Africa Music Awards 2015 yametangazwa jana June 11.
Miongoni mwao ni watabe wa Bongo Diamond Platnumz na dada mwenye swagga za...
SALAMU nyingi zikufikie mrembo usiyechuja umaarufu tangu mwaka 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam' vipi uko poa? Mishemishe zinakwendaje?
Ukitaka kujua afya yangu, mimi namshukuru Mungu kwani...
Akizungumza katika kipindi cha jioni cha E-FM kinachoongozwa na Gadner G. Habash mama mzazi na kaka wa damu wa mwanamuziki fundi na bora wa kizazi cha kati cha watanzania Ramadhani Masanja a.k.a...
Hii kali soma ka screenshot chini....
Davido msanii wa Nigeria, baada ya kuchoshwa na kufatiliwa na Tanzanians ambao hawataki mTanzania mwenzetu Diamond Platnumz ashinde kura kisa kumsaidia wema...
Hafla ya utoaji wa Tuzo za Muziki za Tanzania (KTMA) 2015 iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi usiku iliwavutia wengi.
Mamia walihudhuria tukio hilo na mamilioni wakashuhudia yanayojiri...
Huyu binti amewashangaza wengi hasa ndugu zake kwa kitendo chake cha kukataa ushauri wa kwenda shule. Mtoto huyu mpemba mwenye matusi, anahusudisha uhuni tu anajisahau kuwa ujana una mwisho, hivyo...
Aisee natamani kumuoa huyu mdada, maana daah ananipagawisha sana. Nijuzeni mawasiliano yake na taratibu za posa kwa kabila la Wapare. Nimejipanga na nina mvuto najua akiniona tu atanikubali
Kwa maoni yangu Kiba alistahili tunzo zile,sehemu nadhani imeibua mjadala mzito ni kwenye tunzo ya mtumbuizaji bora tu.
Sasa ni vema hoja na mjadala ujikite kwenye category hiyo ili kuepusha...
Happy 60th Birthday to Denzel Hayes Washington, Jr.!!! Actor, producer and director. Washington has received two Golden Globe awards, a Tony Award and two Academy Awards: Best Supporting Actor...
Bruce Jenner really gave me the inner strength to admit to my kids, my family, my friends, my fans and ultimately to myself that I am gay.I've known I was gay since I was a young boy that I was...
Muigizaji mkongwe na maarufu nchini, Nuru nassoro, maarufu kama Norah, ivi karibuni amejikumbushia enzi zake alivyokuwa aking'ara kwenye magazeti na vyombo mbali mbali vya habar apa nchini...
Bruce Jenner ambaye ni baba wa The Kardashian girls, amekua akitamani kuwa na jinsia ya kike kwa siku nyingi, hatimae kafanikiwa na kuwa rasmi mwanamke tena mwenye mvuto, ambaye kajitambulisha...