Mzee Yusuf na wakeze | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Yusuf na wakeze

Discussion in 'Celebrities Forum' started by KIM KARDASH, Jan 11, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sijaona natumia simu sasa???
   
 3. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Bahati mbaya mwaya..ukipata nafasi tafuta kwenye u tube,utamuona anvyojidai na wake zake mwenyewe anasema hajaoa mwanamke wa ovyo ovyo hata mmoja,vyote visu!
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  mimi sitaki hata kumsikia. huyu ndiyo aliye sababisha jerry tegete ashuke kiwango. kila show yake tegete anaingia bule. na anamnunulia pombe hadi anazimika.sasa alivyokuwa mjumbe wa yanga ndo mwisho kabisaa!. watu wapo kambini yeye anamtorosha. mwambie amuache mtoto wetu acheze mpira. Mia
   
 5. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hii ya tegete nilikua siijui kumbe ndio yeye kamuharibu yule kijana wetu,basi hatufai huyu kaka!
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani chuki mchukieni lakin haki yake mpeni,huyo Tegeta mpaka anaharibiwa ni mtoto?
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ina maana huyu ni kama yule kocha Magram alowaharibu kina J
   
 8. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  haswa..!!
   
 9. s

  shosti JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  sasa mbona na yeye ni walewale!
   
 10. Kipaji Halisi

  Kipaji Halisi JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 2,263
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  kumbe ndio maana anko mpira siku hizi anacheza mdomoni!!...duh..nitamwambia apunguze
   
 11. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280
  Alimuharibu na nini? mnajua maana ya kumharibu? tena eti mnasema ameharibiwa na mwanaume mwenzake....mhhhh
   
 12. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kamharibuje?? em wekeni wazi hili swala....kamharibu vipi...??? tafazal sana tudumishe hii slogan yetu ya JF "were we dare to talk openly"
   
 13. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  umenikumbusha enzi za utotoni tukiwa shule ya msingi, yule kijana umri wa rika letu alikuwa anatega kwenda shule, kwavile bibi yake alikuwa akiniona nae wakati mwengine, basi akanituhumu kuwa mimi ndo nasababisha asiende shule, wakati mimi shule nilikuwa never miss
   
 14. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wake wengi au waume wengi kwa mme/mke mmoja ni moja ya kazi za shetani
   
 15. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Anajisifia ana wake wazuri sana
   
 16. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jamaa ana visu vikali bwana!

  Ila tuseme ukweli, Mzee yusuph ameleta revolution kwenye muziki wa taarabu.
   
 17. S

  SUWI JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Enzi hizi sio za kuendekeza hayo mambo... wawe wazuri au wabaya..
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  ulisha muona wakati wa mazoezi? wenzake wanazunguka uwanja mala 8. yeye atazunguka 2 mala ya 3 atavua viatu na kubakia na socks mala ya nne atajifanya amekanyaga mwiba na kulala chini. mala asije mazoezi eti anaumwa ikifika usiku unamkuta travertine kaunga mduara kwenye show ya yusuph. wewe unaona poa?. Mia
   
 19. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ongezea:
  Ni kiashiri acha umaskini kwa nchi maskini kama Tanzania!
  N.B: Msigeuze maneno hapa.
   
 20. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Maneno ya marehemu Marijani...anasema ..ukewenza kwenu nyinyi ni fahar,lakini kwetu sisi matatizo...ukitazama clip kwa makini utamuona huyu mke wa mwanzo katika clip MZEE YUSUPH anapoanza kumzungumzia mke wake wa pili anakosa amani kiasi fulani.
   
Loading...