Habari zenu wadau wa burudani,
Mwana Falsafa katoa wimbo mpya, jina "Asanteni kwa kuja". Ukisikiliza kwa haraka haraka ni ngumu kaelewa kaimba nini ana maana gani;
Je, anamwimbia mwanamke...
Lady Gaga wa Bongo, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amefungukia ushindi wa mzazi mwenzake huyo na kudai kuwa haumsaidii chochote. Akizungumza juzi na Ijumaa...
Nimewahi kumsikia. Mwenye picha aweke basi tuone uumbaji..
==========
Unataka picha zake au video?! Nitakupa vyote.
Anza na picha;
Kisha video;
Picha zaidi? Zicheki hapa ==> Corazon -...
HATIMAYE kitendawili cha nani atakuwa mwandani wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto kabwe kimeteguliwa kufuatia mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kuutangazia umma juu ya jambo hilo...
Kampuni ya Studio Space Pictures ya South Africa imepost picha ya ay na diomond wakionyesha wamefanya video ya zigo remix.
wameandika zigo remix AYTanzania x diamondplatnumz
Nilikuwa natazama Tv ya burudani hapa Tanzania. Kuna maelezo kuwa kwa sasa wanamuziki watakuwa wanalipwa mrahaba kwa kazi zao zinazochezwa redioni.
Lakini imeelezwa kuwa kuna kampuni anayoitwa...
Habari Wakuu
Ni Kama siku moja imepita tangu Msanii Nikki Wapili apost picha ya yeye akiwa na Wazari wa Habari utamaduni na Michezo,Mzee wa Goli La mkono Mh.Nape Nauye katika ukurasa wake wa...
Kama kawaida yetu, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee wamechaguliwa kwenye tuzo za tooXclusive Awards 2015 VOTE, Kwenye kipengele cha AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR.
Na kwenye kipengele cha OSCAR...
Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu.
Ufisadi? Wakati soo lake la kubambwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akidaiwa kuliibia umeme kwa figisufigisu za kimjini, staa wa sinema za...
Habari Wakuu
Ni Kama siku moja imepita tangu Msanii Nikki Wapili apost picha ya yeye akiwa na Wazari wa Habari utamaduni na Michezo,Mzee wa Goli La mkono Mh.Nape Nauye katika ukurasa wake wa...
Naomba kwanza nianze kwa kudeclare interest, Mimi ni fan wa Diamond!
Ni fan wa Diamond si kwa sababu huwa napenda mziki wake at first place, Big NOOOOO! Nimejikuta nakuwa fan wa huyu jamaa kwa...
Kama ikitibitika tiba zake ni batili hilo tangazo la Dr Mwaka kwenye wimbo wa diamond itakwaje,vyombo vya habari vitapigaje wimbo wenye tangazo batili?
Au diamond aedit/akate sehemu ya tangazo?
Ule usemi kuwa pesa huenda kwa mwenye nazo haukukosewa kwasababu ndio ukweli.
Sio kawaida kwa wasanii wa tanzania kulipwa fedha wakati wanapoachia single zao mpya lakini sio kwa Diamond.
Wakati...
Ametoa mchango mkubwa sana katika ukuzaji wa lugha adhimu ya kiswahili barani Afrika na dunia kwa ujumla. Vyuo vya Tanzania mulikeni hili hasa hasa chuo kikuu cha Dar es salaam idara ya kiswahili...
Habari wakuu!
Alikiba maarufu kama KingKiba fundi na funguo ya Bongo flava, Ameshinda Tuzo kubwa za nchini Kenya (Nzumari Awards) kama Best Male Artist na song of the year "Chekecha"
Katika...
Wana JF, mwenye details za alipo huyu mtangazaji wa zamani wa ITV na Radio ONE,atumwagie hapa janvin, mana nilikua fan wake, alikua anatangaza vizuri taarifa ya habari, kiukwelii alikua na kipaji...
Msanii marufu ajulikanae kama DIAMOND PLATNUMZ a.k.a CHIBU DANGOTE apata show ndani ya OWERI/NAIGERIA,itakayofanyika Desemba 28,2015.
Hawa baadhi ya wasanii watakao kuwepo kwenye show hiyo.
-Mr...