kijana wangu harmonize kaimba sehemu chache kwenye inde aliyoshirikishwa na dully ila katisha zaidi japo nasikia kwa mbali back voko za diamond sasa dully kazileta swaga zake za zamani kwenye hii...
Ubuyu wa mjini unanyetisha kuwa, mkali wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Jike Shupa aliomshirikisha Ali Kiba, Natfal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, anadaiwa kupora demu wa jamaa ambaye naye ni...
Hili ni la kupongeza!
Wasanii 'A-List' wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz na Alikiba wamejikuta wakichangia takribani shilingi milioni 41 katika Taasisi ya 'GSM' ili kusaidia...
Kuna muda unafika maishan inabidi you make right decisions..Yaan namkumbuka MR BLUE zile enz namuelewa sana..Amepita na madem wazur wote Wema, Naj na hata nina uhakika ZARI angekuwa hizo siku BLUE...
Mwanamuziki nguli wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama General Defao akwama hotelini jijini Mombasa baada ya kushindwa kulipa Bili ya Ksh 20,000.
=================================...
Hilal Ametutoa kimasomaso olympic baada ya kushinda kuogelea 50m ya wanaume free style!
Wajuzi wa kupandisha video wasaidie from you tube sie wengine wa zamani and conservative!
Sometimes huwa nikiwa sina kazi au nikiwa sina muvi nzuri huwa naamua kutune in tv stations za home,sasa ukiangalia hizo videos za bongofleva,na hata boringo(acha kwaya ).wote kila msanii kwa kila...
As per thread ya Compact anasema kwamba wasanii kama Navy Kenzo Fid Q na weusi leo wanafanyiwa usahili ili tu kushiriki tamasha la FIESTA, hii imenishangaza kidogo,
Hivi hii FIESTA ina nini mpaka...
Kama ilivyozoeleka radio ya Clouds Fm chini ya Clouds Media Group huleta Tamasha la Burudani kila mwaka maarufu kama "FIESTA".
Baada ya kutofanyika Mwaka Jana kutokana na nchi yetu kuwa na...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Imekuwa ni nadra sana kumuona msanii wa Kitanzania akijitokeza katika jamii na kuchangia mambo mbali mbali kwa kigezo kuwa kazi zao hazina masilahi! Hii...
Wakuu hii naapa kwa jina la mungu,
Kuna jina linatrend sana kwenye social netwek la mwanamke anaeitwa Giggy Money. Hivi huyu dada ni nani hasa au amefanya jambo gani kubwa kwani mbona watu...
Anaipenda Tanzania kwa kuwa amezaliwa Tanzania na wazazi watanzania wanaoishi Tanzania mpaka sasa lakini kwa kuwa Ureno wamemuamini sana na kumpa nafasi ya kuichezea timu yao ya taifa ya vijana...
1.Ali kiba
2.Juma Jux
3.cyril kamikaze
4.Hemed Phd
5.Gerry
6.Izzo bizness
7.ommy dimpoz
UTANASHATI ni jambo kubwa sana kwa wasanii na watu wa kawaida. Mara nyingi utanashati...
Abdul Juma ‘Baba D’
Erick Evarist na Gladness mallya
DAR ES SALAAM: Maskini wee! Baba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma ‘Baba D’ anaumwa sana! Ndivyo Risasi...
Mengi anamiliki Radio one, Capital radio, EA radio na Ruge anamiliki Clouds fm na Choice fm. Sasa watangazaji wengi wa Mengi wanakimbilia kwa Ruge.
Tuwaorodheshe; Milard Ayo, Sebastiani Maganga...
Nampenda Lulu Michael wazoefu viwanja vipi naweza kumpata au kukutana naye au ofisi zake ziko wapi
Nisaidieni wapendwaaaa!!!! ....I am sick bcoz of her
Haijalishi alivyo historia yake me...
Naomba kujua wanamuziki na waigizaji waliosoma
Mimi naanza na mwana fa huyu ana masters in finance aliyoipata chuo kimoja huko uingeleza naombeni kuwajua na wengine ....naomba kuwasilisha wanajamvii