Kijana anazidi kusonga mbelee kijana anazidi kuchanja mbuga katika kuhakikisha mziki wa Tanzania unakaa vizuri Marekani!!
Leo katika Ukurasa wake amepost picha akiwa na Msanii wa Marekani anaitwa...
TID Afunguka 'Nilikuwa Natoka na Wema Sepetu Alafu Akaniambia Hanitaki..Sasa Hivi Akitaka Kurudi Hakuna Nafasi Tena'
Akiwa Katika Kipindi cha Clouds 360 leo Mwanamuziki TID Amefunguka Kuhusu...
Mkubwa Fela amewaita waandishi wa habari kuwaonyesha nyumba alizowajengea Yamoto Band huku akisema kuwa project yake ya Mkubwa na Wanawe imekuwa na mafanikio makubwa, amemshukuru pia Rais mstaafu...
Habarini....kuna watu wengi mimi siwafahamu na ila wengine naweza kuwafahamu kupitia mtu mwingine! Sasa huyu Kelvin Hart mimi simfahamu kabisa ila Jana nimeona Video akiwa na Diamond Platnumz na...
Nimeikuta sehemu insta [emoji116] [emoji116]
Hapo ni Congo vs makonde[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo ni Congo
Hiyo ni makonde[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee hivi vivulana hivi...
Kuna habari zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba komando Ruby yuko studio anafanya album aliyoipa jina la Antivirus volume 3.
Mdau yapi maoni yako kuhusu hili?
Sudi Brown, umbea unaoufanya kamwe usidhani unakujengea heshima. Unavyowaumbua watu kwa kuingilia mambo yao ya ndani usidhani ni jambo jema.
Time will come, utazaa, watoto wako sijui watakuwa...
Wakongwe
1. P-Funk Majani
2.Master Jay
3. Mika Mwamba
4.Complex (R.I.P)
5.Prof Ludigo
6...
7...
Wanaotamba kwa sasa
1. Marco Chali
2. Lamar
3. Hermy B
4. Man Walter
5. Q
6...
7...
Jana nilikua naangalia video fulani hivi za kina Chege na Temba ambazo kwa mtazamo wangu mdogo naona nyota ii upande wao!
Ghagla nikajikuta namkumbuka na sir nature enzi hizoo za TMK family...
Ni kwanini wasanii wakubwa kama Joh Makini, Nick ii, Lord Eyes, Ibrah da Hustler, G Nako, WCB, Dogo Janja n. k wote wanatokea Arusha na wanaimba mziki unaofanana.
Kwanini Arusha isiwe na waimba...
Habari ndugu;
Straight to the topic. Katika wake wa marais niliobahatika kuwaona hapa Tanzania. ..... first lady wa sasa...yaani mama Salma Kikwete kweli anajua kuvaa compared na hao waliopita...