Juma Nature

Mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
67,020
168,014
Jana nilikua naangalia video fulani hivi za kina Chege na Temba ambazo kwa mtazamo wangu mdogo naona nyota ii upande wao!
Ghagla nikajikuta namkumbuka na sir nature enzi hizoo za TMK family kwakweli nilimkumbuka sana na sikuhizi simsikii na natamani kujua songi zake za hivi karibuni au kufahamu yuko wapi na anajishughulisha nanini???
 

Attachments

  • 1464747486179.jpg
    1464747486179.jpg
    38.7 KB · Views: 65
Back
Top Bottom