Wema Sepetu, inafaa aingie kwenye kitabu cha maajabu cha Guiness

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,256
16,306
TID Afunguka 'Nilikuwa Natoka na Wema Sepetu Alafu Akaniambia Hanitaki..Sasa Hivi Akitaka Kurudi Hakuna Nafasi Tena'

Akiwa Katika Kipindi cha Clouds 360 leo Mwanamuziki TID Amefunguka Kuhusu Kutoka na Wema Sepetu...

"Nilikuwa "namdate" Wema Sepetu akaniambia Sikutaakiiii....tangu kipindi hicho nimekuwa na Wasichana wengi...Ikitokea Wema Sepetu anataka kurudi hakuna nafasi Tena"I'm occupied".

Pia TID Amemuongelea Mwanamuziki Ommy Dimpoz na kusema kuwa yeye ndio aliyemtoa

"Alikuja studio kwangu akiwa anavaa ndala na kupitia kwangu alijuana na watu muhimu kama Ali Kiba na Ruge Mutahaba". Anasema pia yeye anapenda na ni bora afanye video zake hapahapa Tanzania ili kuitangaza nchi yetu na vivutio vyake zaidi.
 
Sasa hivi wema amekuwa chatu aliye meza mnyma kitimoto. Sasa hivi hata mimi superstar wa mtaani kwetu siwezi piga machine ya wema, hata aniongee vipi.
KWA NINI MKUU JAMANI?! WAKATI MI NAWAZIA NINGEKUWA WA JINSIA YAKO LAZMA NINEJIKOKI HATA NIWEKE RANGE WESE, JAPO NIBINYE HATA ULE MCHINA WAKE NIJUE KAMA WA KWELI AMA LAH... HAHAHAH
 
WEMAAAAAAAAAA.jpg
 
ANASEMA ALISHAMCHUNGULIA BHANA
Yani anasema leo as if watu hawajui tayari.....
Halafu anasema ni bora afanyie video Tanzania..au kwasababu kashafulia siku hizi...maana enzi hizo when Kenya was the eishh alienda kufanya video huko mara mbili...
 
Hahaaaa tatizo la mchina halina joto Alafu unabonyea kama sponchi usingeenjoy
AHAHAHAHAHAHA LOLS

ILA MKUU UJUE SIAMINI KAMA KUNA HAYA MAMCHINA NAONAGA KM WATU WAZASHI TU NINACHOJUA MIE KUNA SKINTIGHT ZA KICHINA ZINA MASPONCHI YA KUUNDA SHAPE FULANI HIVI AMAZING
 
It's called freedom of speach why
can't people just except it why
should he have to apologize for his
opinion
 
AHAHAHAHAHAHA LOLS

ILA MKUU UJUE SIAMINI KAMA KUNA HAYA MAMCHINA NAONAGA KM WATU WAZASHI TU NINACHOJUA MIE KUNA SKINTIGHT ZA KICHINA ZINA MASPONCHI YA KUUNDA SHAPE FULANI HIVI AMAZING

Samahan jamani kumbe tid yupi makubwa
 
hivi sasa kwan yeyey TID kama keshachungulia wengi kwann na yeye asiingie kwenye gueness book??
simply kwasabb wema ni mwanamke ila kwa mwanaume hata akitoka na watu milion bado ana haki sio?
mnajifariji kwa vitabu vya dini kuwapen uwezo wa kuoa awanawake wengi lkn mnasahau kwamba hata cleopatra alokuwa malkia na queen of sheba waliweza kuwatia kiblan wanaume mabandidu wa stail zenu.

kiufupi mwachen wema aishi maisha yake.
 
waingizwe wote mkuu tehetehe tehetehete eeh maulana mlinde mtoto wangu asiwe ka huyu bidada uwii
 
waingizwe wote mkuu tehetehe tehetehete eeh maulana mlinde mtoto wangu asiwe ka huyu bidada uwii
kwan wewe huyu wema ana ulemavu gani hasa ambao hutaki mwanao aupate?
hivi umeshawah kujiuliza watu wasokuwa macelebrity wanatoka na watu wengi kiasi gani hadi leo muhukumu wanawake wachache hivi?
nakasirika sana mnapofikia hatua ya kumhukumu wema na sio yeye peke yake bali hata Lulu. najiulizaga wale wanaouza miili pale kimboka na sugar rays je wao wametoka na wangapi? mbona hao hawawi point of discussion?
 
KWA NINI MKUU JAMANI?! WAKATI MI NAWAZIA NINGEKUWA WA JINSIA YAKO LAZMA NINEJIKOKI HATA NIWEKE RANGE WESE, JAPO NIBINYE HATA ULE MCHINA WAKE NIJUE KAMA WA KWELI AMA LAH... HAHAHAH
Mmh, mbona inawezekana Tu mamii, Si mnakoboa Tu, unatest ukimaliza nijulishe., Mimi ndo ntakuja kumuoa hiyo, no problem
 
hivi sasa kwan yeyey TID kama keshachungulia wengi kwann na yeye asiingie kwenye gueness book??
simply kwasabb wema ni mwanamke ila kwa mwanaume hata akitoka na watu milion bado ana haki sio?
mnajifariji kwa vitabu vya dini kuwapen uwezo wa kuoa awanawake wengi lkn mnasahau kwamba hata cleopatra alokuwa malkia na queen of sheba waliweza kuwatia kiblan wanaume mabandidu wa stail zenu.

kiufupi mwachen wema aishi maisha yake.
Ile 50/50 ina apply hapo mwanamke kwanza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom