Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni...
11 Reactions
85 Replies
12K Views
=> Jide ndio anamiliki gari ghali kuliko wasanii wote Bongo...Land Rover..Range Rover Evoque.. .kitu WHITE....
5 Reactions
180 Replies
34K Views
Hivi hili suala liliishia wapi? Huyo bibie alienda mahakamani kumfungulia mashitaka huyo Kapteni au Kapteni aliomba radhi? Kilichonifanya nikumbuke hili sakata ni hilo suala la Juma Pumba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hainaga ushemeji ya ManFongo ni wimbo uliobamba sana kwenye hizi nyakati za Tanzania ya wazinzi. Cha ajabu nilikuwa nasikilizaga chorus tu sijawahi kuconcentrate kusikiliza verse zake, jana wakati...
1 Reactions
64 Replies
12K Views
Mahaba ya treysongz na vanesa mdee mzamilmik: Mahaba ya treysongz na vanesa mdee
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Maneno ya davido baada ya jina lake kutokutajwa kuwania tuzo yoyote Mtv mzamilmik: Maneno ya davido baada ya jina lake kutokutajwa kuwania tuzo yoyote Mtv
0 Reactions
0 Replies
822 Views
#SukaSuka ni jukwaa la Times FM ambalo linavumbua wakali wa kusuka Mtaa Kwa Mtaa kila wiki mara 3. Kwa miezi miwili tumekua tukiingia kitaani kusaka wakali ambao wanaweza kusuka mitindo yote kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ile Kesi ya Lulu kuhusika na kifo cha Kanumba imefikia wapi? Isije ikawa imeisha mi tu ndio sina habari.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hii inaonyesha kuwa mziki wetu wa bongo flava unazidi kupaa maana kwa mwaka huu wataperform wasanii wawili kutoka Bongo, Diamond na King Kiba. My take: Nakuomba King Kiba usiende kumuaibisha dogo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zilizopo ni kwamba siku ya Jumatano wiki hii Joh makini anakuwa msanii wa kwanza wa Hip Hop kuingia WCB na kuwa chini ya Diamond Platinumz. Kwa mtazamo wangu naona si kitu kibaya, ni jambo...
2 Reactions
72 Replies
11K Views
Huyu dogo aaliyesumbua kwenye bongo movie mwishoni mwa miaka ya 2000 yupo wapi sasa maana hasikiki tena
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Wadau nimejaribu kuziangalia picha za msanii Baghdad zimenichanganya sana. Nashindwa kuamini kama ni mtu mmoja au sio. Swali langu ni kuwa, je ni kweli inawezekana mtu kubadilika namna hiyo kweli...
0 Reactions
33 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu, Asee sikuwahi kudhani kwamba kuna wanawake wenye kipaji cha comedy nimeona kwa Katarina yaani huyu Dada ni shidaa kila nikiangalia vipande vyake vya video nacheka mbavu sina...
11 Reactions
147 Replies
34K Views
Msanii wa bongo fleva Timbulo amekasirishwa sana na wasanii wa kike na kusema wote hawana akili, hii ni baada ya kumpigia simu vanessa mdee na kutaka kuomba kolabo na Vanessa akasema hamjui Kama...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Haya sasa kwa wale ambao hamkubahatika kuziona picha za b' day ya Zari iliyofanyika huko ZNZ hizi hapa ndio picha zenyewe Haya sasa wabongo kazi yao kufikiria mtaachana lini...
6 Reactions
86 Replies
18K Views
Anaweza kuwa ndiye video queen hot&sexy zaidi Bongo na ingawa ameshiriki on two videos pekee anabaki kuwa V,queen mwenye jina kubwa zaidi. Siku za karibuni amekuwa akimake headlines on social...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
  • Closed
Mtandao mmoja huko Ujerumani umeripoti kuwa bilionea namba moja Afrika Aliko Dangote amefariki ghafla kwa kuugua kwa muda mfupi Hata hivyo bilionea huyo alikanusha madai hayo kupitia Twitter na...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Aisee ama kweli nabii hakubaliki kwao,daah waliotunga huu msemo walikuwa ma generous sana kwa kweli Licha Rayvan na Raj boy Harmonize kuonekana sio lulu kwa kiasi hicho hapa nchini lakini...
1 Reactions
64 Replies
13K Views
Wana jamvi salaam, Kwako mpendwa msanii wa kimataifa ambaye tunajivunia kutolewa kimasomaso katika kila unacho gusa iwe tunzo na uwakilishi wako pande zote za ulimwengu. Diamond adui yako mkubwa...
9 Reactions
47 Replies
8K Views
Uongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya...
10 Reactions
48 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…