Nilianza kumfahamu msanii Khaleed Mohammed au Top in Dar (TID) alipotoa wimbo pendwa wa Zeze miaka ile ya 2000s akiwa na Jay Moe..
Jina lake likakua na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya...
Msanii Ali Kiba amekataa nyumba inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikuhusishwa na yeye na kusema bado anaishi kwenye nyumba ya kupanga na hata kama alikuwa amejenga nyumba hawezi kufanya...
Aunty ezekiel kweli ka move on past wema.. Pamoja na wema kujikomba kote kumuwish happy birthday aunt na kumpost mapicha kibao insta, aunty ezekiel kamkaushia mikausho mikali na hata hajamualika...
Habari zilizo chini ya carpet kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali...
MTV (MAMA)- Bonyeza link hii 2016 MTV Africa Music Awards
Bonyeza tu vote halafu X halafu vote...
Kuna tuzo mbili kama pichani juu.
1. Best Male
2. Artist Of The Year...
Hii ni nyimbo mpya ya Ali Kiba inaitwa "Risabela" inayotofautisha kabisa bongo flavor na Nigerian music.. Hongera Kiba, naona sasa zile radha halisi za bongo zinaanza kurudi na nafikiri wengine...
Asa kama mabilionea pia wanashindwa ku handle mizinga.....kunakuchekana kweli hapa, dharau, kubezana...tunayo yashuhudia humu kwenye jamii yetu. Eti kuambiwa kama huna hela kaa pembeni.
Hata...
Fiesta not reachable, duuuuh.....!!
Kumedia kunsi kukupirika, chanii chikukutile njooomba?
#966# kuduuuu ku mchikioooo pa video mkombe..!
Longa nasi msaani wetu Ney wa mitego, nini kimekukuta...
Kuna interview last week iliyoendeshwa na BBC UK kwa ajiri ya Kufanya promotion ya mziki wa kizazi kipya ....
Kwenye interview kulikuwa na wasanii kama
1: professor jay
2: Sugu
3: Vanessa
4...
H baba amemponda Diamond kwa kupost nyumba kisa eti Ali Kiba katuma, amesema kama yeye ni mkweli ana nyumba aposti hati ya nyumba, sio mwenzake akipost nyumba naye anapost
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifatilia shows mbalimbali za redio zinazoendeshwa mchana,lakini mpaka sasa xxl ya cloudsfm imebaki kuwa show bora zaidi za zote angalia mpangilio wa kipindi b dozen...
Wakuu salamu.
Inasemekana PJ wamerudi tena Clouds fm. Waliondoka kwa mbwembwe sana kwenda Efm japo kwa maoni yangu hawakufanikiwa kufanya kile nilichotarajia! Lakini leo asubihi katika nyapia...
Wakati msanii Rich Mavoko akifikisha umri wa miaka 21 na hivyo kumfanya kuwa moja ya madogo wachache wanaocontrol industry,uongozi wa WCB umeamua kufanya kitu tofauti kabisa kwa kuporomosha bonge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.