Nani mmiliki halali Wa wimbo Wa Inde mornie!

komba05

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
367
291
Habari za hapa wakuu, kuna hii kitu imesumbua fikra za watu wengi sana. Nikaona Leo niilwte humu tujuzane kwa kina!
Kuna wimbo ameimba dully Sykes na huyu dogo Harmonize, sasa inasemekana sana kuwa wimbo ni Wa dully Sykes, lakini vitu ninavyojiuliza Kwanini hawa WCB wameshoboka sana ktk hiyo song? Au ni sababu kijana wao kashirikishwa? Pili je ni kweli dully hakuweza kuidhibiti hiyo kitu ili umiliki Wake halali ufahamike? Maana huku mtaani wengine wakiingia YouTube anaiona nembo ya WCB na vinginevyo vyenye kuashiria WCB ndio wamiliki!
Binafsi legendary dully namkubali sana, ila kwa hapo naona kama chenga vileee!
Karibu kutoa fikra zako?
 
Jamaa hajachangia hata hela ya sigara waache wcb wajimilikishe
 
Wimbo ni wa Dully,japo umegharamiwa kila kitu na WCB.Lakini mapato ni ya wote.(ilikuwa ni kama offer tu)
 
Inde monie si wa kanda bongoman.....! Kumbe kuna version mpya ya bongofleva.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom