Bifu ni kubwa mno, na linachochewa sana na mashabiki wa Ali kiba, nafikiri jinsi ya kumaliza bifu hili kwa kutengeneza collabo kati ya kiba na Dmond , lakini ali kiba hataki mana anajua bifu hili...
Sijui kwanini wanamuziki wa kibongo inapokuja ku perform live ukiondoa christian bella wengi wanaimba tofauti na nyimbo zao tunazoziona kwenye luninga na redioni. Pumzi na key zinapotea sijui...
Licha ya Singeli kuwa muziki ulioibuka kwa kasi na kujizolea mashabiki lukuki na kufanikiwa kuzalisha vipaji kadhaa mwanamuziki Mkongwe Juma Kasim Nature ameibuka na kusema muziki huo ni wa kihuni...
muonekano wake wapagawisha,laiti kama angekuwa nominated lazima tuzo zingerudi kwani ana masong makali na sauti tamu mno haswa akipafomu kwa cd kama bwana simba karoli
hapa katupia picha ila...
Picha aliyoweka Faiza Ally Instagram ya Mhe. Joseph Mbilinyi ‘Sugu'
akiwa katika pozi na mwanaye Sasha.
MSANII wa filamu Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph...
Leo wakiwa mawenzi sekondari iliyopo Moshi mjini shetta amekutana na msichana ambae anadai kuwa wanafanana na kupanda stejini na kumkumbatia shetta
Baada ya kitendo kile shetta alifurahishwa na...
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford amemmwagia sifa Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kuwa hakuwahi kujua kama ni mkarimu huku akidai kuwa anafaa kuwa mume!
Shamsa ambaye aliachana na mume wake...
Nyimbo ya harmonize matatizo naona imegusa maisha yaliyopo kwa sasa mtaani hii nyimbo,kiukweli haiwezi kuchuja imekuw nyimbo pendwa nashauri wasanii wa wcb waanze kuimba nyimbo za ujumbe mana...
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisso akiongea na eNewz ya EATV amesema hana taarifa na wala hajui kama kuna wizi wa kazi za wasanii katika nchi hii.
Kumekuwa na kilio...
Rafiki wa karibu wa marehemu Thomas Mashali
aliyejitambulisha kwa jina la Ally amesimulia mkasa
mzima wa kifo cha rafiki yake huyo. Ally alisimulia mkasa wa rafiki yake huyo akiwa msibani maeneo...
Ubuyu ulionyooka mjini kwa sasa unamgusa staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ‘Chausiku’ anayedaiwa kujitwalia mwanaume aitwaye Chid Mapenzi huku nyuma yake kukiwa na mazito kwamba, mwanaume...
WASANII NA MAPENZI YA MAIGIZO
Kuna mtu alishswahi kusema " siwezi kuwa na mpenzi mwigizaji kwani nahisi atakua ananiigizia"
Jumapili iliyopita huo msemo nilipata nafasi ya kuushihudia kwa macho...
Kwa hapa mi naonaa efm sio wabunifu wameshindwaje nao kuandaa tamasha lao siku ya leo??
Yaan kama wao wangekuwa ni washindani wa biasharaa nao wangeaandaa tamasha lao wamwalike #mondi wachukue na...
mkanganyiko huu bado unafatiliwa kwa umakini nitawajuza kinachoendelea
==================
ni kweli tukio hilo limetokea arusha,makumira.
Huyu binti aliyefariki amefananishwa tu na huyo...
Zari ameonesha hana kinyongo hata kidogo kwa wifi yake queen darleen ingawa pale mwanzoni queen darleen alimlia bati Zari kwa kugoma kumtakia heri ya kuzaliwa wifi yake huyo na kuongea mbovu...
Kama ww mkoani hii haikuhusu kabisa tena kaa mbali sana.
Jamani muliosoma zile shule za serikali zilizokua noma wakati huo hapa Dar kuanzia Forodhani,Azania,Jangwani,Kibasila na...
Kama ulidhani Alikiba atapotea kwenye ramani ya muziki baada ya kusaini mkataba na kampuni ya Sony Music kama ilivyowahi kuwatokea baadhi ya wasanii wa Afrika – imekula kwako, mwenyewe amefunguka...