Kwa hapa mi naonaa efm sio wabunifu wameshindwaje nao kuandaa tamasha lao siku ya leo??
Yaan kama wao wangekuwa ni washindani wa biasharaa nao wangeaandaa tamasha lao wamwalike #mondi wachukue na...
mkanganyiko huu bado unafatiliwa kwa umakini nitawajuza kinachoendelea
==================
ni kweli tukio hilo limetokea arusha,makumira.
Huyu binti aliyefariki amefananishwa tu na huyo...
Zari ameonesha hana kinyongo hata kidogo kwa wifi yake queen darleen ingawa pale mwanzoni queen darleen alimlia bati Zari kwa kugoma kumtakia heri ya kuzaliwa wifi yake huyo na kuongea mbovu...
Kama ww mkoani hii haikuhusu kabisa tena kaa mbali sana.
Jamani muliosoma zile shule za serikali zilizokua noma wakati huo hapa Dar kuanzia Forodhani,Azania,Jangwani,Kibasila na...
Kama ulidhani Alikiba atapotea kwenye ramani ya muziki baada ya kusaini mkataba na kampuni ya Sony Music kama ilivyowahi kuwatokea baadhi ya wasanii wa Afrika – imekula kwako, mwenyewe amefunguka...
Mkali wa wimbo ‘Salome’ na mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz amewataka mashabiki wa muziki kukaa mkao wa kula kwa ajili ya ujio mpya wa Rich Mavoko.
Diamond amesema Rich Mavoko ana nyimbo...
Kama mtanzania natumia nafasi hii kukupongeza Diamond Platinumz kwa kufikisha Followers millioni tatu katika mtandao wa Instagram. Hakika wewe si mtu wa sport sport.
Rapa mkali kutoka Weusi Joh Makini amewachana wanaoanzisha label hapa nchini kuwa wengi wao hawajui vigezo vya kumiliki label na badala yake wanazitumia label kama kiki katika muziki wao.
Maneno...
Ile show kabambe ambayo huwakutanisha wasanii kibao pale stejini (FIESTA) inafanyika muda si mrefu hapa Tz lakini katika hali ya kuudhi na kuhuzunisha ni kwamba msanii Diamond hatokwepo kabisa...
Leo mida fulani hivi ya saa nane mchana nilikuwa nasikiliza Clouds fm kwenye kipindi cha XXL kuna segment inaitwa 255 ndipo nikamsikia Barnaba anasema eti anamuomba rais Magufuli aende kwenye...
kashfa kubwa unamwandama bia masogange ya kuwachanganya mastaa wa kinaijeria
Davido And Tekno Have Allegedly Been Sleeping With The Same Girl [PICS] - Celebrities - Nigeria
Davido And Tekno...
Warembo wapo katika dance ya ufunguzi , kuna wengine wanapatia steps wengine wanaenda tofauti ila wamependeza sana.
Warembo wameshamaliza kupita na mavazi ya ubunifu, vazi la kitenge limetawala...
Kama umebahatika kuisikiliza hii ngoma....ni moja ya ngoma hatari sana za hip hop sema utimu ndo unafanya ngoma kama hizi zissikike maana jamaa kaflow vizuri sana
Kiukweli kabisa mimi nimekuja mjini mwaka jana tu, yaani sikuzote nilikuwa nakaa kwetu Tandahimba ndanindani, Redio niliyokuwa nasikiliza ni RTD sasahivi inaitwa TBC Taifa. Na hata kiswahili...
Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.
Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.
KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
Washabiki wenye mapenzi ya dhati na Wema Sepetu wamekwazwa na tabia za Wema na maisha yake yasiyokuwa na muelekeo hivyo kuamua kuzindua kampeni ya bring back our Wema Sepetu.
Kampeni hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.