Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huyu jamaa hajui kama clouds ni pro sirikali anachora katuni za kichochezi??/? redio ilishawahi kupigwa faini kwa ku promoti u shoga kwenye kipindi cha kina hando then zamaradi naye aka promoti...
1 Reactions
69 Replies
15K Views
Wanajamvi naomba kujua taarifa za msanii Vengu kwani ni kitambo kimepita bila kupata taarifa zake,na je bado anaumwa?vipi ametoka katika kundi a orijino komedi?kwenyeharusi ya masanja...
2 Reactions
62 Replies
20K Views
jamaa anajua kufreestyle sioni wa kumfananisha nae kwa sasa labda nimfananishe na marehem ngwea na nathububu kusema huyu ndo mrithi wa ngwea kwenye freestyles, fid q na wenzake hawaingizi maguu...
3 Reactions
78 Replies
17K Views
Good things have been coming Pauline Shamola’s way after a by passer took photos of her compassionately attending to a disabled customer The Safaricom employee became an internet sensation the...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kifo cha mwanamasumbwi mwenzangu (Thomas Mashali) kimenisikitisha sana. Inawezekana vipi kwa mtu mashuhuri kama yule kuuawa kikatili vile, tena kwa kupigwa kama nyoka, kwenye nchi yake, mkoa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kumekuwepo na habari nyingi kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii kwamba miss tz 2016 ana miaka kumi na nane na anashahada ya sheria. Anaejua ukweli atusaidie Je haya yanayosemwa ni ya kweli...
13 Reactions
180 Replies
28K Views
Kweli huu mchezo hauhitaji hasira... Yule mtangazi bora wa Sports extra ya Clouds FM Leo kasajiliwa rasmi EFM. Hii vita sijui nani ataishinda...
9 Reactions
49 Replies
10K Views
Alikiba: Sipendi kiki na sitofanya kamwe Hitmaker wa ‘Aje’ Alikiba amesema Kiki ni kitu ambacho hakipo kwenye menu yake. Alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Clouds 30 kupitia Clouds TV. Kwanza...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Diamond ameamua kuonyesha uswahili wake kw wale walikuwa wanasema hana uwezo wala hawezi nunua nyumba south africa Picha inajielewa zaidi
7 Reactions
236 Replies
22K Views
Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii Video ya Miss Tanzania. Kipindi ambapo anatafutwa miss kinondoni. Ni kweli alisema ana miaka 18 lakin hakusema kuwa ana degree. Zaid alichosema...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Abubakari Mzuri ameelezea kuwa hakufumaniwa bali alikuwa akiishi na mwanamke aliyekuwa ameechana na bwana wake kwa mwaka mzima Na mtu akaona wivu na kwenda kumfanyia vurugu, mwanamke huyo pia...
1 Reactions
38 Replies
9K Views
Mariah Carey anaweza kubaki na pete ya dola milioni 10 aliyovishwa na mchumba wake James Packer waliyeachana. Lakini hiyo haitoshi, muimbaji anataka zaidi. Wawili hao waliachana baada ya kuzuka...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo mida ya sa11 na nusu jioni nilikua nasikiliza kipindi cha redio kwenye Metro FM ya jijini Mwanza ambapo msanii aliyetamba sana na kundi la wakali kwanza QJ alikuwa akihojiwa na akasema kwamba...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
0 Reactions
31 Replies
3K Views
C.Ronaldo. Diamond Platnumz. Point yangu. Kati ya wacheza Mpira na Usanii Wepi wanachukua salary nyingi Ulimwenguni?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huu jamaa amewakasirikia kweli kweli watu wanaodai anawadhulumu Yamoto Band, amesema kuna watoto kibao mtaani kwenu na kama unaona anafaidi sana kusana na wewe kundi lako uwafanye mastaa kisha...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Anaebisha aangalie coverage yao sasa kwenye miss tz, hii ni aibu ... Vivuli kwenye picha,mara mwanga unazd mara unapungua. Ni full miyeyusho ,halafu huyo jes k mbona anaongea kama anafanya u-mc...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu, habari zenu, Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, Huyu miss lake zone Ni lazima awe miss Tanzania La sivyo mtu atatumbuliwa Ovaaaaa
2 Reactions
242 Replies
27K Views
KABLA UJAJIITA JINA JITAIDI UJUWE MAANA YAKE WASICHANA WENGI SANA WANALIPENDA ILI JINA DIVA UTASIKIA IM THE DIVA... ==DIVA===MUNGU WA KIKE ==SOMA KWA MAKINI SANA ALAFU USIJIITE TENA ILI JINA...
12 Reactions
49 Replies
42K Views
Hasheem Thabeet kwa mujibu wa Jokate Mwegelo, alikuwa ni ‘first love’ na huenda kuachana naye kilikuwa ni kitu kibaya zaidi kuwahi kutokea katika maisha yake. Mrembo huyo alikuwa akijibu swali...
10 Reactions
134 Replies
19K Views
Back
Top Bottom