Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Inaitwa Tit for Tat! Baada ya Ommy Dimpoz kueleza kwa kina kuhusiana na sababu iliyopelekea wakakosana na Diamond, muimbaji huyo wa Salome, amejibu kupitia Instagram. Majibu ya Diamond ni ya...
0 Reactions
299 Replies
30K Views
Universal Music Group walitoa dola milioni 1 (takriban shilingi bilioni 2.2 za Tanzania) ili kusambaza nyimbo za wasanii wa label ya Diamond Platnumz, WCBM, imefahamika. Diamond ametoa habari...
2 Reactions
103 Replies
22K Views
Dah Mond MAYOTTE wamemuelewa sana,full live band,kila siku anazidi kuimprove, usiku huu atakinukisha Kounguo stadium!,go Simba we ni mozart wa bongo fleva,wengine wote ni wanamziki tena wa kawaida...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
hivi hii insta awards inaisha lini wakuu manake kwa sasa hamna kinachopostiwa zaidi ya kupiga kuomba kupigiwa kura yaan 24/7 ni plz vote for ........ aaaaaaagh
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajamvi .. Kama Heading inavyojieleza ,naomba kujuzwa hivi Wasanii wakubwa huwa wanawalipa Managers wao kwa Criteria gani??kwa kila show?? Kwa mwezi ?? Au kwa njia ipi.Pia vipi kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nasikia kashusha bonge la pini 'moyo wangu' pamoja na 'nalia na mengi'. Mwenye video zake aweke hapa. Keep it up DIAMOND!
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Kwa wafwatiliaji wazuri wa mamafia this is for you. Nothing personal, it’s just business” ~ Otto Berman “Las Vegas turns women into men and men into idiots.” ~ Bugsy Siegel “Murders came with...
5 Reactions
15 Replies
5K Views
Hata kama umeenda brela na kukuta majina yote yana wenyewe lakini hili jina ni la kiswahili cjapata kuona "Wasafi classic baby" jamani hivi hata uchaguzi wa jina pia unahtaji elimu kumbee.
3 Reactions
24 Replies
4K Views
...Imetulia au vipi?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
DIAMOND PLATNUMZ A.K.A MSANII WA UJANJA UJANJA yuko ndani ya nchi ya MAYOTTE kwa ajili ya kufanya shoo mbili,ambazo moja itafanyika kesho na nyingine ni kesho kutwa kwenye uwanja wa mpira.
3 Reactions
78 Replies
15K Views
Bondia Shoga Adundwa Kwa Tko, Wenzake Wamshambulia Mitandaoni Bondia Shoga Adundwa Kwa Tko, Wenzake Wamshambulia Mitandaoni - MUUNGWANA BLOG
0 Reactions
11 Replies
4K Views
NAJIULIZA KILA SIKU, HIVI MASTAA NI HAWA WAWILI TU, DIAMOND NA KIBA? KILA MTU AKIFUNGUA THREAD NI WAO HADI INACHOSHA. BADILIKENI
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Huyu mpiga drums anafaa kupiga punda na sio drums, huyu mpiga solo bora hata umtafute nape, kwa hadhi yako ajiri wakongoman na madensa kutoka africa ya kusini, bora ukafanya show mbili za ukweli...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu Heshima Mbele, Kiukweli huyu mwamba anajitahidi sana sana na sijapata ona nani anaweza kuifikia sauti yake. Nimeangalia na kusikiliza pini yake ya "Kwa Hela" mara mia sijaona nani anaweza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Google wametangaza washindi 10 wa mwanzo wa tuzo za Youtube Sub-Saharan African Creator (YoutubeSSA) Tuzo hizo zimekuwa zikifanyika kwenye mabara mengine tangu mwaka 2007 na zimekuwa...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Ni mwandishi pekee aliyekwenda kwa hiyari yake mwenyewe kutoa ushahidi kwenye tume ya mwakyembe na amekuwa akisakamwa na mafisadi kila kukicha lakini ametoa maisha yake kwa nchi yake
0 Reactions
145 Replies
18K Views
Hongera dogo.
0 Reactions
54 Replies
7K Views
SHILOLE AKIWA NA STYLIST WAKE MARTIN KADINDA ASHEREKEA DEAL LA FIESTA... AANDIKA HIVI #Fiesta2016 imoooooooooo nishadondosha wino kama msanii wako wa fiesta mwaka huu... nasikia rahaaaaaa with my...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Sitaki mengi mwenye masikio na asikie. na nyingine ni ya huyu mdogo wangu kabisaaa. NB. sitaki kuwa sehemu ya ugomvi ila nataka masikio ya watu wengine yasikie pia halafu watoe maoni yao. nahisi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…