Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kutokana na hili sakata la kununua views uko YouTube na mtuhumiwa mkuu akiwa bwana msafi himself mond bin laden Nimejaribu kufatilia apa jukwaa la celebrity jf kwa maelezo ya watalam wa ayo...
5 Reactions
45 Replies
12K Views
1. Sitya loss- EDDY KENZO 19.81M 2. nana - DIAMOND 18.41M 3. number 1 remix -DIAMOND18.36M 4. ntampata wapi - DIAMOND11.21M 5. nasema nawe - DIAMOND 11M 6. mariaroza comedy-EDDY KENZO 9.71M 7...
6 Reactions
60 Replies
14K Views
Baada ya Diamond kupata mafanikio kupitia lebo yake ya WCB sasa nimesikia kwenye redio Alikiba akisema ana lebo yake inaitwa king record amesajili baadhi ya wasani mama Jokate, Dimpoz any skz...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Kijana wa kununua viewers timu ujanja ujanja amenunua na kupewa tuzo ya best collaboration of the year. Nyimbo yake ya ujanja ujanja aliowashirikisha wajanja wajanja P square inayoitwa KIDOGO...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Uwepo wa timu za kishabiki ndio unaofanya wasanii wengi wasing'are. Ila kiukweli wasanii kama Darassa, Ben Paul, Barakah, Jux, Barnaba wanafanya mziki mzuri kuliko uwepo wa timu za kishabiki ndio...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Haya twende na mistari inayoijua... "Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu yashaninda sasa itabidi nilelewe siwezi kung'ang'nia maana sio fungu langu japo ni shida ntabaki mwenyewe" "Jamani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper amenunua gari lenye thamani ya shilingi milioni 20 ambalo kwa sasa anamalizia usajili wake. ======== Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Kwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla Prof Jay ajatoka Gangwe mob, juma nature hawajatoka Mda mabaga fresh wapo hot...
21 Reactions
136 Replies
18K Views
Mimi binafsi nimemuelewa sema tatizo ndo hivyo tena magu anakaba mpaka penalty Yani hapa harrier inaenda kihalali kabisa bila kujifikiria Mara mbili Na hizi ni baadhi ya picha akiwa Dubai...
4 Reactions
78 Replies
19K Views
Rais mstaafu akiwa safarini kutokea Iringa alikokwenda kwenye mahafali ya chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa alipata nafasi ya kuwaungisha vijana wanaofanya biashara ya vitunguu katika maeneo ya...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
NI POZI AMA TEGO MI SISEMI LEO,NAWAACHIA NYIE
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Watu wanaambiwa wanakataa haya Leo nataka msome wenyewe muamini kweli janja janja zinafanyika wcb
6 Reactions
275 Replies
24K Views
Wadau habari za sunday,kwanza nasikitika sana kumpoteza kwenye ramani ya muziki producer machachari Bob junior kutoka sharobaro records,bob nini kimekukuta?,nini mbaya?,mbona ulikuwa fresh tu...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Inaitwa Tit for Tat! Baada ya Ommy Dimpoz kueleza kwa kina kuhusiana na sababu iliyopelekea wakakosana na Diamond, muimbaji huyo wa Salome, amejibu kupitia Instagram. Majibu ya Diamond ni ya...
0 Reactions
299 Replies
30K Views
Universal Music Group walitoa dola milioni 1 (takriban shilingi bilioni 2.2 za Tanzania) ili kusambaza nyimbo za wasanii wa label ya Diamond Platnumz, WCBM, imefahamika. Diamond ametoa habari...
2 Reactions
103 Replies
22K Views
Dah Mond MAYOTTE wamemuelewa sana,full live band,kila siku anazidi kuimprove, usiku huu atakinukisha Kounguo stadium!,go Simba we ni mozart wa bongo fleva,wengine wote ni wanamziki tena wa kawaida...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
hivi hii insta awards inaisha lini wakuu manake kwa sasa hamna kinachopostiwa zaidi ya kupiga kuomba kupigiwa kura yaan 24/7 ni plz vote for ........ aaaaaaagh
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajamvi .. Kama Heading inavyojieleza ,naomba kujuzwa hivi Wasanii wakubwa huwa wanawalipa Managers wao kwa Criteria gani??kwa kila show?? Kwa mwezi ?? Au kwa njia ipi.Pia vipi kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…