Huu ni ujumbe kwa Wasanii wote wa mziki, Diamond hafai kuweni naye makini

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,053
2,000
Kwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla

Prof Jay ajatoka
Gangwe mob, juma nature hawajatoka
Mda mabaga fresh wapo hot nature ajulikani
Enzi za mama mwenye nyumba nk

Sogy dog dog hunter, CAZ T wanasumbua walk man zetu
nk kwa hiyo kidogo historia ya mziki huu tangu uanze kulipa naijuia

Sasa nachotaka kusema nini diamond ni msanii mzuri, ana uwezo mzuri sana ila tatizo moja Kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake yeye na uongozi wao hawataki kubali changamoto ambazo ndio zilizowezesha diamond akatoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yake diamond asingetoka

Diamond na uongozi wake hawataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua nafasi ya kimuziki yani msanii asikike kazi zake hii ipo wazi kabisa

Kwaiyo wasanii mnatoa nyimbo angalieni hilo suala katika promo zenu msije kuta nyimbo zenu nzuri ila zinafanyiwa figisu ili zisitambe kwa lengo moja tu nyimbo nzuri zikiwa nyingi basi upo uwezekano jamii ikamzoea diamond nikaona kawaida tu hivyo juhudi zimekuwepo kuhakikisha nyimbo nzuri za wasanii wengine hazipati nafasi ili diamond akiachia wimbo usumbue hii ipo wazi

Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo

Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic
Hivyo wasanii angalieni huyu Kijana si mzuri kabisa
Fikilia hizo tabia angekuwa nazo

Dully
Prof
Nk
Je wasanii kama kina diamond wangesikika

Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu
 
STALLION

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,806
2,000
Sikufichi katika wasaniii, nisiowakubali yani kuvutiwa nao kimuziki ni huyu kijana.

Lakini naona kuna baadhi ya vitu mnamrisha, mbona anawabeba wakina Rayvan, harmonize, yupo na kina mavoko n etc

Mengine ni ubinadamu na ishu zilizo personal, huwezi saidia kila mtu, huwezi kuwa kondooo kuitikia, sometimez Ego inatakiwa ili huweze kuwa safe katika kuwa happy pia.

Mpeni Break, waache wa fight survival for the fitest..
 
Pascal A

JF-Expert Member
Jun 17, 2013
204
225
Kwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla

Prof Jay ajatoka
Gangwe mob, juma nature hawajatoka

Mda mabaga fresh wapo hot nature ajulikani

Enzi za mama mwenye nyumba nk

Sogy dog dog hunter, CAZ T wanasumbua walk man zetu

nk kwaiyo kidogo historia ya mziki huu tangu uanze kulipa naijuia

Sasa nachotaka kusema nini diamond ni msanii mzuri, ana uwezo mzuri sana ila tatizo moja Kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake yeye na uongozi wao hawataki kubali changamoto ambazo ndio zilizowezesha diamond akatoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yake diamond asingetoka

Diamond na uongozi wake hawataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua nafasi ya kimuziki yani msanii asikike kazi zake hii ipo wazi kabisa

Kwaiyo wasanii mnatoa nyimbo angalieni hilo suala katika promo zenu msije kuta nyimbo zenu nzuri ila zinafanyiwa figisu ili zisitambe kwa lengo moja tu nyimbo nzuri zikiwa nyingi basi upo uwezekano jamii ikamzoea diamond nikaona kawaida tu hivyo juhudi zimekuwepo kuhakikisha nyimbo nzuri za wasanii wengine hazipati nafasi ili diamond akiachia wimbo usumbue hii ipo wazi

Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo

Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic

Hivyo wasanii angalieni huyu Kijana si mzuri kabisa

Fikilia hizo tabia angekuwa nazo

Dully
Prof
Nk
Je wasanii kama kina diamond wangesikika

Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu
Zama zake hizi bwana, huenda hakuna figisu yyt. Mwacheni afanye
 
Mgomele

Member
Nov 12, 2016
60
150
mhh! mtu ambaye:-
1. kawatoa wasani wawili mavumbini hadi kuwa mastaa wakubwa kuliko baadh ya waliokaa kwenye game miaka kumi na ushee...

2. ameajiri vijana si chini ya thelathini na kuwalipa mishahara kiasi cha kujenga na kumilika usafiri...

3. ameweza kuleta mapinduzi ya mziki kuwa biashara (kuongeza thaman ya msanii)

4.. N.K

HAYA NGOJA TUWE MAKINI NAYE BASI MKUU
 
Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,082
2,000
Angekuwa anataka kuwa yeye peke yake angewachukua vijana tuliokuwa hatuwajui kabisa kama Rayvanny na Harmonize ambao mpaka sasa wanaendelea kuteka hisia za watu?
Nenda you tube kaangalie video zote za Rich mavoko yenye viewers wengi sana na bora ni ile Ibaki story baada ya kusimamiwa na huyo unae msema vibaya!!

Eti ametoa ngoma kumuharibia flani,
Kwahiyo ashindwe kutoa wimbo flani eti kisa flani nae ametoa? acha watoe mashabiki ndio wajue mziki mzuri ni upi!

Hatusemi wasanii wengine wamtetemekee ila kiburi chao cha kushindwa kukubali kama mwenzao ana kitu cha pekee na kubaki kupiga majungu , mara anaroho mbaya mara hivi.....hiyo kitu itaendelea kuwatafuna!!

Angalie collabo zote alizoshirikishwa zinavyofanya vizuri huko you tube!!

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni jamani, hapo hatujaangalia ameajiri vijana wangapi( dencers+ band)

Anyway [HASHTAG]#Kunywa[/HASHTAG] maji halafu kaangalie show ya huko [HASHTAG]#Mayote[/HASHTAG] mpaka watu wanalia
 
Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,164
2,000
mhh! mtu ambaye:-
1. kawatoa wasani wawili mavumbini hadi kuwa mastaa wakubwa kuliko baadh ya waliokaa kwenye game miaka kumi na ushee...

2. ameajiri vijana si chini ya thelathini na kuwalipa mishahara kiasi cha kujenga na kumilika usafiri...

3. ameweza kuleta mapinduzi ya mziki kuwa biashara (kuongeza thaman ya msanii)

4.. N.K

HAYA NGOJA TUWE MAKINI NAYE BASI MKUU
una uhakika na ulichokiandika
 
kadinali JM

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
381
500
Kwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla

Prof Jay ajatoka
Gangwe mob, juma nature hawajatoka

Mda mabaga fresh wapo hot nature ajulikani

Enzi za mama mwenye nyumba nk

Sogy dog dog hunter, CAZ T wanasumbua walk man zetu

nk kwaiyo kidogo historia ya mziki huu tangu uanze kulipa naijuia

Sasa nachotaka kusema nini diamond ni msanii mzuri, ana uwezo mzuri sana ila tatizo moja Kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake yeye na uongozi wao hawataki kubali changamoto ambazo ndio zilizowezesha diamond akatoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yake diamond asingetoka

Diamond na uongozi wake hawataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua nafasi ya kimuziki yani msanii asikike kazi zake hii ipo wazi kabisa

Kwaiyo wasanii mnatoa nyimbo angalieni hilo suala katika promo zenu msije kuta nyimbo zenu nzuri ila zinafanyiwa figisu ili zisitambe kwa lengo moja tu nyimbo nzuri zikiwa nyingi basi upo uwezekano jamii ikamzoea diamond nikaona kawaida tu hivyo juhudi zimekuwepo kuhakikisha nyimbo nzuri za wasanii wengine hazipati nafasi ili diamond akiachia wimbo usumbue hii ipo wazi

Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo

Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic

Hivyo wasanii angalieni huyu Kijana si mzuri kabisa

Fikilia hizo tabia angekuwa nazo

Dully
Prof
Nk
Je wasanii kama kina diamond wangesikika

Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu
Uandishi wako tu hasa ulivyoanza hapo mwanzo utafikiri hujasoma kiswahili, Hamna cha koma wala nukta, kiukweli mimi sijakuelewa hasa ulivyoanza, kama vipi rudi shule mkuu
 
Peter Simba

Senior Member
Nov 23, 2016
191
250
Kwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla

Prof Jay ajatoka
Gangwe mob, juma nature hawajatoka

Mda mabaga fresh wapo hot nature ajulikani

Enzi za mama mwenye nyumba nk

Sogy dog dog hunter, CAZ T wanasumbua walk man zetu

nk kwaiyo kidogo historia ya mziki huu tangu uanze kulipa naijuia

Sasa nachotaka kusema nini diamond ni msanii mzuri, ana uwezo mzuri sana ila tatizo moja Kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake yeye na uongozi wao hawataki kubali changamoto ambazo ndio zilizowezesha diamond akatoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yake diamond asingetoka

Diamond na uongozi wake hawataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua nafasi ya kimuziki yani msanii asikike kazi zake hii ipo wazi kabisa

Kwaiyo wasanii mnatoa nyimbo angalieni hilo suala katika promo zenu msije kuta nyimbo zenu nzuri ila zinafanyiwa figisu ili zisitambe kwa lengo moja tu nyimbo nzuri zikiwa nyingi basi upo uwezekano jamii ikamzoea diamond nikaona kawaida tu hivyo juhudi zimekuwepo kuhakikisha nyimbo nzuri za wasanii wengine hazipati nafasi ili diamond akiachia wimbo usumbue hii ipo wazi

Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo

Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic

Hivyo wasanii angalieni huyu Kijana si mzuri kabisa

Fikilia hizo tabia angekuwa nazo

Dully
Prof
Nk
Je wasanii kama kina diamond wangesikika

Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu
hayo ni mawazo yako na sheria inakuruhusu kueleza maoni yako ila sizani kama upo sahihi coz mbona wanamziki wengine wengi tuu wanatoa nyimbo zao na zinahit vzr na kasaidia watu wengi kwenye mziki,,,nazani tumpe support yeye na vijana wengine ili wafanye kazi
 
pamoja tunashinda

Senior Member
Aug 22, 2015
131
225
Angekuwa anataka kuwa yeye peke yake angewachukua vijana tuliokuwa hatuwajui kabisa kama Rayvanny na Harmonize ambao mpaka sasa wanaendelea kuteka hisia za watu?
Nenda you tube kaangalie video zote za Rich mavoko yenye viewers wengi sana na bora ni ile Ibaki story baada ya kusimamiwa na huyo unae msema vibaya!!

Eti ametoa ngoma kumuharibia flani,
Kwahiyo ashindwe kutoa wimbo flani eti kisa flani nae ametoa? acha watoe mashabiki ndio wajue mziki mzuri ni upi!

Hatusemi wasanii wengine wamtetemekee ila kiburi chao cha kushindwa kukubali kama mwenzao ana kitu cha pekee na kubaki kupiga majungu , mara anaroho mbaya mara hivi.....hiyo kitu itaendelea kuwatafuna!!

Angalie collabo zote alizoshirikishwa zinavyofanya vizuri huko you tube!!

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni jamani, hapo hatujaangalia ameajiri vijana wangapi( dencers+ band)

Anyway [HASHTAG]#Kunywa[/HASHTAG] maji halafu kaangalie show ya huko [HASHTAG]#Mayote[/HASHTAG] mpaka watu wanalia
Hao uliowataja mavoko,rayvan na hamonize umewasikia wanafanya shoo? Ni moja au mbi na zikizid ni tatu kw mwaka? Unajua maana yake ni nn?
 
lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
5,008
2,000
Kwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla

Prof Jay ajatoka
Gangwe mob, juma nature hawajatoka

Mda mabaga fresh wapo hot nature ajulikani

Enzi za mama mwenye nyumba nk

Sogy dog dog hunter, CAZ T wanasumbua walk man zetu

nk kwaiyo kidogo historia ya mziki huu tangu uanze kulipa naijuia

Sasa nachotaka kusema nini diamond ni msanii mzuri, ana uwezo mzuri sana ila tatizo moja Kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake yeye na uongozi wao hawataki kubali changamoto ambazo ndio zilizowezesha diamond akatoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yake diamond asingetoka

Diamond na uongozi wake hawataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua nafasi ya kimuziki yani msanii asikike kazi zake hii ipo wazi kabisa

Kwaiyo wasanii mnatoa nyimbo angalieni hilo suala katika promo zenu msije kuta nyimbo zenu nzuri ila zinafanyiwa figisu ili zisitambe kwa lengo moja tu nyimbo nzuri zikiwa nyingi basi upo uwezekano jamii ikamzoea diamond nikaona kawaida tu hivyo juhudi zimekuwepo kuhakikisha nyimbo nzuri za wasanii wengine hazipati nafasi ili diamond akiachia wimbo usumbue hii ipo wazi

Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo

Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic

Hivyo wasanii angalieni huyu Kijana si mzuri kabisa

Fikilia hizo tabia angekuwa nazo

Dully
Prof
Nk
Je wasanii kama kina diamond wangesikika

Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu
Kwahiyo anatumia mbinu za chama cha magamba
 
pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Mar 27, 2015
2,945
2,000
Wachawi kazini kwahiyo anawafinya na kina harmo wivu wa kike huo fanya yako kila zama na mfalme wake msimgeuze mondi ngazi ya kupandia na kiki zenu mkitoa vijimbo vyenu kila mtu ale kwa urefu wa Kamba yake mme mgeuza mswaki mond kutwa yuko midomoni mwacheni apumue acheni kulia lia fanyeni kaz, unafiki tu awabanie ye ndo msambazaj au meneja wao mnatia kinyaaa kazi kitafuta huruma za mashabiki mkiendelea kujipopodoa ye anapost show alaaas! Mapovuyana watoka.
 
Poozy

Member
Nov 22, 2016
20
45
Naona unatumia nguvu nyingi sana kiufupi hayo maneno yako usiseme mbele ya Nay, AY, Chege na wengine wengi alafu sisi washabiki ndiyo tunao hukumu sasa swala la kutufundisha hali ya kuwa sisi tunaona, tafuta lingine
 
othiambo

JF-Expert Member
Nov 15, 2014
1,611
2,000
watu wanaojifanya huu mziki ni wakwao na wakawapa viburi baadhi ya wasanii walio kwenye imaya zao ndio wanaotusumbua,Dimond hajamtoa yeyote hapa bongo na wala asipate kiburi bila hao wanamfanya ajishembendue kusengekua na WCB na kujisifu amewatoa wasanii.
Tukumbushane THT iliyokua na wasanii wengi lakini mwenye kipaji cha uhakika ni Barnaba peke wengine wote walikua wazugaji tu,kila aliyepiga nyimbo na Barnaba alivuma akiwemo Amin,Linah na Pipi, leo wakowapi....Kumbe THT ya wanaojifanya huu mziki ni wakwao ndo iliwatoa na ilikua ikiwabeba nA SIO BARNABA..kwa hiyo Mond asivimbe kichwa mziki wa bongo na harakati zake tunazijua vizuri.
 
dlnobby

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
2,524
2,000
Anayeongea anaishi kwa mama bado...unayemsema kajenga jumba na kanunua jumba jingine south....kawapa ajira vijana zaid ya 300...lakin baba ako na mama ako hawajafanya kitu chochote. Hata kutoa ajira kwa kijana wao mpendwa hamna zaidi umebarikiwa chuki kwenye mitandao
 
mwamgongo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
483
500
Diamond atabaki kuwa Diamond,,,,,,,,,,hakuna mtanzania yeyote asiekubali ukweli huu zaidi ya unafiki. The Diamond kudos man!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom