Kichekesho cha wasanii bongo


NgugiAchebe

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
1,032
Likes
680
Points
280
NgugiAchebe

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
1,032 680 280
Baada ya Diamond kupata mafanikio kupitia lebo yake ya WCB sasa nimesikia kwenye redio Alikiba akisema ana lebo yake inaitwa king record amesajili baadhi ya wasani mama Jokate, Dimpoz any skz na Abdul Kiba.

Na Baraka deprince ameanzisha lebo yake na tayari amesajilu wasanii mama Najma na wasanii wengine wa Mwanza
Nikabaki nacheka bongo apaishi vituko
 
cephalocaudo

cephalocaudo

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
11,252
Likes
14,061
Points
280
cephalocaudo

cephalocaudo

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
11,252 14,061 280
Diamond ataua watoto wa watu siku sio nyingi. Kila akipiga msamba na wao wanaiga.
 
innocentkirumbuyo

innocentkirumbuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Messages
2,665
Likes
2,043
Points
280
Age
49
innocentkirumbuyo

innocentkirumbuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2016
2,665 2,043 280
Yangu macho kama diamond angemsaili zari sijui kama wcb ingekuwa hiv
 
S

six packs

Member
Joined
Dec 23, 2015
Messages
62
Likes
202
Points
40
S

six packs

Member
Joined Dec 23, 2015
62 202 40
Mkuu unashangaa nini? hujui kama Diamond Platnumz ndio role model wao?

Baraka da prince mwenyewe anakwambia babayake alimuunga mkono suala la usanii baada ya kuona mafanikio ya Dangote, na huyo Mfalme wa kariakoo aliamka usingizini baada ya kuona Dangote anatusua kila kukicha
 
ZamdaIssa

ZamdaIssa

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2015
Messages
802
Likes
1,227
Points
180
ZamdaIssa

ZamdaIssa

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2015
802 1,227 180
Wallah siku diamond akifa na watu wataigiza kufa ili wagawane kiki na Marehemu..

Maana watu wamepaniki mbayaaa...Diamond imemchukua miaka zaidi ya 5 kuijenga WCB mpaka leo ikawa imesimama imara kabisa..

Lazima ujenge misingi kwanza yakudumu ndipo uanzishe Label,wasanii wengi wanafanya vitu kwasababu wanaviona na sio kwasababu walijenga misingi ya vitu hivyo..

Diamond amejipanga haswa,ndio maana kila Attack linaloikuta WCB haitetereki!!bado inasimama imara na inazidi kung'aa..

Sasa hiyo ni label au umoja wa marafiki?!..mtu kama Abbyskills atakuletea faida gani zaidi ya hasara?!mtu ameshajichokea huko,keshazeeka mwenyewe...au Abdu Kiba!hana kipaji chochote kwenye muziki,hajui kuimba wala kucheza,anaimba tu kwasababu amemuona kaka yake Ali anaimba basi na yeye akaona bora atumie jina la Baba,Hapo kiba anapoteza hela tu..

Halafu Ommydimpozi wala sio mtu wa kumwamini ukasema umweke kwenye Label yako...siku mukikorofishana tu basi anahamia label nyingine na Matusi juu...Ukiona rafiki yako uliyenae anatoa siri za Rafiki yake aliyepita basi jua na wewe ipo siku atatoa siri zako pindi mutakapomaliza urafiki wenu..

Kiba asifanye vitu kwa presha ya Diamond,ajipange kwanza!!Siku uhusiano na Jokate ukiisha basi na Label inapoteza mtu..
 
MU-ARSENAL

MU-ARSENAL

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2012
Messages
957
Likes
570
Points
180
Age
33
MU-ARSENAL

MU-ARSENAL

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2012
957 570 180
Mkuu unashangaa nini? hujui kama Diamond Platnumz ndio role model wao?

Baraka da prince mwenyewe anakwambia babayake alimuunga mkono suala la usanii baada ya kuona mafanikio ya Dangote, na huyo Mfalme wa kariakoo aliamka usingizini baada ya kuona Dangote anatusua kila kukicha
Absolutely
 
D

don xxx

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Messages
1,115
Likes
906
Points
280
D

don xxx

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2013
1,115 906 280
Tatizo liko wapi hapo ?
 
pumzihaiuzwi

pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2015
Messages
2,618
Likes
2,005
Points
280
pumzihaiuzwi

pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2015
2,618 2,005 280
Diamond wasamehe wenzio wataiga hadi ku...... Hahaaaa vyuma vimekaza hakuna namna lazima wakuige tu
 
jojoe

jojoe

Member
Joined
Jul 5, 2016
Messages
73
Likes
104
Points
40
jojoe

jojoe

Member
Joined Jul 5, 2016
73 104 40
Diamond ndo wakwanza kuanzisha lebo Tanzania na Dunia mpaka ionekane ajabu
 
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Messages
5,277
Likes
2,976
Points
280
Age
33
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2015
5,277 2,976 280
Diamond wasamehe wenzio wataiga hadi ku...... Hahaaaa vyuma vimekaza hakuna namna lazima wakuige tu
Diamnd mwenyewe kaiga label zipo kitambo hata G Records ya marehem Roy ilikuepo.
Na hata kabla ya hapo zilikuepo.Hajaanzisha huyu fraudster wa views hajazaliwa.
 
weed

weed

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Messages
2,123
Likes
2,185
Points
280
weed

weed

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2012
2,123 2,185 280
NI UPEPO TU...HATA LIVE BAND WALIANZISHA WENGI
 
chukuachako

chukuachako

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Messages
1,047
Likes
305
Points
180
chukuachako

chukuachako

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2014
1,047 305 180
Nachompendea Mondi ni tathmini na maandalizi anayofanya kabla hajaamua kufanya jambo ili akija kulifanya afanye kwa uhakika, Hongera Kiba ka umedhamiria utafika unapopataka.
 
Amalinze

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Messages
6,720
Likes
3,573
Points
280
Amalinze

Amalinze

JF-Expert Member
Joined May 6, 2012
6,720 3,573 280
Label zipo kitambo kabla hata Domo hajaanza kuuza mitumba.
 
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Messages
13,161
Likes
6,663
Points
280
Age
29
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2011
13,161 6,663 280
ACHA KUTUNGA STORY
 
mjasiliaupeo

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Messages
1,675
Likes
1,771
Points
280
mjasiliaupeo

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2013
1,675 1,771 280
wataiga vyote lakini suala la kununua majengo ndo hawataki kuliiga.
 

Forum statistics

Threads 1,273,286
Members 490,351
Posts 30,477,038