Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu. Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani. Najua sasa hivi...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
tanzaniiiiiia hakuna mrembo kama wewe.... ni moja ya vibao vyake mwororrrro kabisa. yuko wapi siku hizi.
0 Reactions
106 Replies
31K Views
Dogo Diamond Platinumz ametisha sana kwenye Sikukuu ya Kuzaliwa CCM Atafutiwe Cheo hapo CCM au Kwa ufupi tu awe Mkuu wa Mkoa wa DSM Au mnasemaje ndugu zangu? 😂
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Milard Ayo amekuja vizuri sana kwenye tasnia ya habari amekua kioo kwa baadhi ya vijana wanaotaka kuanzisha chombo kama cha kwake. Huyu dogo amekuwa kero sana hasa kwa mambo yasio na faida kwa...
14 Reactions
82 Replies
10K Views
Mkitoka kuswali ndugu zangu mje mtueleze Mola gani anayemuomba kijana wenu
2 Reactions
2 Replies
451 Views
Baada ya kuachana na Diamond Platnumz, Peniel Mwingila aka Vj Penny ameendelea mbele na maisha yake, lakini amekanusha kuwa na mpenzi mpya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidhani hasa wanapomuona...
0 Reactions
67 Replies
19K Views
They both own Fashion Lables.....Mange akiwa na BONGOLICIOUS brand na Kisa akitusua na KIKI's FASHION brand... Swali kwa Fashionistaz.......Nani Mkali Wa Designs....?? And who is more...
1 Reactions
94 Replies
34K Views
Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote. Mwigizaji huyo mwenye utajiri unaokadiliwa...
8 Reactions
101 Replies
4K Views
Producer maarufu duniani Irv Gotti amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54. Chanzo cha kifo chake bado hakijatajwa huku ripoti za awali zikisema mwaka jana alipata tatizo la kupooza kwa muda...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu Chawa kazini kama kawaida yao tazama Baba Levo alivyomshikisha Alikiba bango la Rais Samia, na kumgeuza Mashine ya kumpamba Samia.
2 Reactions
8 Replies
964 Views
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na...
46 Reactions
1K Replies
133K Views
Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje? Ndipo napata jibu kuwa "Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema...
1 Reactions
10 Replies
896 Views
Nimefatilia kwa undani mikiki anayopitia Konde Boy toka ajiengue WCB. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA na zote zimefanya vyema...
27 Reactions
154 Replies
23K Views
Binafsi naona kijana nyimbo zake ndio ni nzuri ila tu kwa sasa zimekua na uzuri wa levo za kawaida tu, sio kama za yule harmonize tuliemjua wa kwangaru, firewaist, matatizo, n.k Kwa sasa kwanza...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nikiwa eneo moja la Mikocheni ghafra bin vuuu namwona Posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari. Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa...
29 Reactions
99 Replies
6K Views
Sasa ni hivi, mnakumbuka kipindi Bashite amewaita wauza unga, kwenye watu maarufu alimuita Director. Sasa ni hivi Director hakusingiziwa na Bashite kama wengi tulivyodhani kipindi kile. Director...
24 Reactions
132 Replies
19K Views
Dada yetu ambaye ni role model wa mabinti wengi sana Africa ameanza kutoa boko! Usiku wa juzi, Lupita ameonekana kushikana shikana kimahaba na msagaji maarufu wa Marekani, Jannele Monae huko...
8 Reactions
144 Replies
26K Views
Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU Katika kitu ambacho nilikuwa sijui ni kuwa kama mwanetu Young D mzee wa bongo bahati mbaya kuwa alihamia Marekani Leo ndo nimejua MWENYEZI...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham...
12 Reactions
101 Replies
9K Views
Wakuu Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, aina ya Defender new Model ya mwaka 2023 Gari hili linaifanya kuwa la nane (8) Kwenye parking ya magari yao Nandy amemwandikia haya mumewe...
8 Reactions
111 Replies
8K Views
Back
Top Bottom