Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mwigizaji, Hamisa Mobetto, amtambulisha mpenzi wake Stephane Aziz Ki, mchezaji wa soka wa klabu ya Yanga SC. Mobetto ameachia picha na video akiwa pamoja na MVP wa Ligi ya NBC msimu wa 2023/24...
14 Reactions
153 Replies
9K Views
Mwanamuziki kutoka lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platinum ,Rayvann hatimaye afanikiwa kuibuka kidedea kwenye tuzo ya BET kipengele cha Best New international act Hongera sana kijana...
32 Reactions
141 Replies
20K Views
DOGO JANJA Awajibu Wanaomsema Yeye Na IRENE UWOYA Awaambia "SUNNA YA MTUME"
1 Reactions
90 Replies
19K Views
Muigizaji Hamisa na mchezaji wa soka Aziz Ki kufunga ndoa mwaka huu, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili ya video wakila bata Dubai, wakitumia hashtag #MissaKi2025. Hili linakuja wiki...
10 Reactions
111 Replies
8K Views
Wakuu, Kwa ujumbe tutegemee kuwa na harusi ya taifa hivi karibuni. Diamond kafa kaoza kwa Zuchu, huu hapa ujumbe wake kwa mpenzi wake katika siku hii ya Wapendanao
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Kajala alipoanza mahusiano na Pfunk Majani, Pfunk aliyumba sana akapigwa bao na kina masterJ, Mikamwamba na wengine wengi, wakongwe wenzangu mnawakumbuka. Kajala akafunga ndoa, mume akafungwa...
44 Reactions
192 Replies
18K Views
Mtandao umemfananishwa Elon Musk na Nick Cannon baada ya kufichuka kuwa amepata mtoto na mwanaharakati wa mrengo wa kulia mwenye umri wa miaka 27, na kufanya idadi ya watoto wake kufikia 13 kutoka...
2 Reactions
6 Replies
783 Views
Ushauri tu kwa mwanamuziki Marioo awe anaacha kuvaa miwani meusi kwenye video zake kwa sehemu kubwa. Diamond tulimjua haraka huku vijijini mwanzoni aliimba kavukavu. Zuchu pia hata watoto wa miaka...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mama wa Mshambuliaji wa Yanga Stephanie Aziz Ki "Sanata Ki" amemvaa rais wa Yanga Eng Hersi Said kwa kusimama kama mwakilishi wa familia kwenye maandalizi ya harusi ya mtoto wake bila yeye...
11 Reactions
60 Replies
5K Views
Nabii huyu Ni Nani ?pesa anazipataje yey ni kweli ni tapeli Kama wanavyosema watu kuwa tapeli au Ni kijan mchapa Kaz Basi tusema wivu tu kwa kuwa pia anaonekana na pisi Kali na kula Bata hapa jiji...
7 Reactions
37 Replies
8K Views
Nimetoa tu huko Twitter kwa wananzengo Lakini Kuna wananchi watoa comment kama huyu👇🤣
4 Reactions
4 Replies
927 Views
Mwigizaji Mkongwe na Maarufu nchini Tanzania, Grace Mapunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Taarifa za...
17 Reactions
120 Replies
14K Views
Kijana Frank Patrick (Mchekeshaji wa Mtandaoni) maarufu Kama Molingo (17) Mkazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo December 10,2024 akiwa nyumbani kwao Chato...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Baadhi wanaweza wakawa wameanza kukufahamu ulipokuwa muhariri wa Bongo5, ila umeanza safari yako pale Victoria fm Musoma kabla ya kuhamia RFA Mwanza na baadae ukashift TONE Radio. Kipindi uko...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Inadaiwa kuwa Le Mutuz alimdanganya Davis Mosha kuwa yeye ni mtaalamu sana wa mambo ya media. Na yeye kichwa kichwa akaingia kuagizia vifaa vya radio na TV kumbe jamaa hamna kitu. Matokeo yake...
32 Reactions
577 Replies
75K Views
Nash Mc ni miongoni mwa wasanii top 3 ya Hiphop bongo ninao wakubali nakufuatilia kazi zao zote wanazozifanya. Nash Mc, hataki kubadilika kuwa msanii wa kisasa, mfano nyimbo zake anauza whasap...
5 Reactions
84 Replies
7K Views
Huyu jamaa naweza sema ni mwanahip hop bora Tanzania ambaye hajawahi kubadilika,wako malegends kama Sugu au Jay ila huyu jamaa ukisikiliza nyimbo zake utagundua ni msomi,na pia anatumia kiswahili...
19 Reactions
153 Replies
22K Views
Wakuu, Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM. Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka...
2 Reactions
3 Replies
622 Views
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefichua siri kuwa wakati Diamond akiwa na Zari walikuwa wanakutana na kwa siri na akafanikiwa kutundikwa mimba tatu na Diamond ambapo mbili zilitoka na moja...
14 Reactions
242 Replies
28K Views
Naona hoja ya Steve ni ya kweli, ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajitokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom