Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kendrick Lamar amefanya yake kwenye tuzo za Grammy. Ngoma yake ya Not Like Us imezoa tuzo za kutosha. Drake na wafuasi wake wana wakati mgumu sana.
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Wauni wana namba zao zinaitwa 45 na wengine wana namba zao zinaitwa 32 na wengi atuna namba ila chokoza Nenda kacheki video mjini youtube
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja kutoka Luis ville Marekani, Ricki Smith mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa akitaka kuiba gari na kudai kuwa Kanye West ndiye aliyemtuma. Tukio hilo lilitokea Ijumaa huko mtaa wa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Inspector Haroun - Asali wa Moyo Juma Nature - Dance with Me Professor Jay - kipi sijasikia Dully Sykes - Bongo fleva Ray C - Unanimaliza Feruz - Ndege mtini Mwana Fa - Mfalme Ngwea (Rip) - Nipeni...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
17 Reactions
152 Replies
11K Views
Waandaaji wa Tuzo kubwa Duniani Tuzo za Grammy wametangaza orodha ya wasanii watakaowania kwenye tuzo hizo zilizopangwa kutolewa February 2025. Staa kutoka Tanzania diamondplatnumz bahati...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu, tutafte hella. Hapa ni mcheza kikapu maarufu Shaq O'Neal mwenye miaka 52 akiwa nchini Hispania na mpenzi wake mwenye miaka 21 wakila maisha...
13 Reactions
102 Replies
5K Views
Nampenda sana Bahame. Nime mfollow sana maeneo mengi. Ana mwanae nahisi ama anasoma Kusini au wanaishi wote somewhere in the South. Dunia ina balance pale kila mmoja akabalansisha mambo...langu...
7 Reactions
114 Replies
23K Views
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Ngoma inaitwa SUMU imeimbwa na Farid kubanda FidQ Ina maneno ambayo yaanza kwa kisukuma lakin nitayatafasiri Kwakifupi Ngoma hii imesheheni ujumbe mzito sana...
3 Reactions
12 Replies
934 Views
Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya...
18 Reactions
188 Replies
15K Views
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani? Hana wazazi au ndugu huyu msanii? Unaweka wazi machupi yako ndio usanii?
14 Reactions
102 Replies
7K Views
Kijana tajiri wa Mtandaoni na bilionea asiye na shughuli wala biashara wala kazi anayofanya anawasalimia vijana wa Kitanzania.
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Hello. Nini kimetokea kwa msanii wa nyimbo za Gospel Good luck Gozbert amekuwa na ukimya mkubwa sana uliopitiliza na haieleweki umesababishwa na nini. Hakuna hits song Tena Wala kuvuma na nyimbo...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Mwamba huyu apa Bambo ni muigizaji mkongwe sana nchini Tanzania na hajawai kupoteza ubora kwenye kazi yake huyu mwamba achia msemo wake mmoja hapo ♥️🌺🍀
10 Reactions
48 Replies
3K Views
Mtume kanisani kwa nabii mkuu GeorDavie afichua ukweli ishu ya nyota na gari aliyochoma Goodluck Gozbert, kinachomtesa msanii huyo wa nyimbo za injili Pia, Soma: Masanja Mkandamizaji aililia...
6 Reactions
59 Replies
6K Views
Kisu kikali ni tafsida tu nikimanisha kisu kikali ni chochote alichonacho mwanaume kitakachomchanganya mwanamke either pesa, mahaba, six packs, dushe kubwa, kibamia, good sex, rough sex, etc etc...
1 Reactions
92 Replies
16K Views
Habari wanajamvi, kwa wale wahenga na wafuatiliaji wa habari za showbiz za miaka hiyo leo tukumbushie kidogo story zilizokua 'hot' kipindi hicho, magazeti ya udaku kama Kiu, Uwazi, Ijumaa na...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Hii ni thread maalum ya simulizi mbalimbali pamoja na visa, mikasa na vitimbi vya wasanii wa zamani wa bongo fleva. Stay tuned....
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Bishop Masanja Mkandamizaji amefunguka kwa uchungu..... "Nimeona story ya Kuchomoa gari!! ninachojua Nabii @geordavietv amewapa Magari watu Kadhaa!" Ameendelea kusema.... "Ombi langu kwa...
16 Reactions
113 Replies
6K Views
Back
Top Bottom