Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,577
Inadaiwa kuwa Le Mutuz alimdanganya Davis Mosha kuwa yeye ni mtaalamu sana wa mambo ya media. Na yeye kichwa kichwa akaingia kuagizia vifaa vya radio na TV kumbe jamaa hamna kitu.

Matokeo yake TV na radio zake amemuuzia mwarabu wa WCB (Sallam) ambaye yupo partner na Fred Bundala (Sky-walker) na kuziita Dizzim TV na Dizzim FM

Za chini ya kapeti zinadai sasa hivi Mosha na Le Mutuz iiiih ni paka na chui kabsa yaani hawaendani!
 
Watu kama hawa wapogo tu,
huko duniani kuna kama huyu Georger Nader,mlebanon,
mishen town wa kimataifa,anaweza kuwakutanisha Trump akakutana na Nasralala,au crown prince Mohamed akutana na Al than,
ama Netanyau akakutana na khamenei,
yaani wao ni mishen town in an international scale,
yaani deal lolote wanafanya provided iwe inalipa,
wanafanya gunrunning,wanacheza deal kubwakubwa za wakubwa na wanapata cha juu
 
Back
Top Bottom