Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Gal Gadot’s star on the Hollywood Walk of Fame was destroyed just hours after being placed! Hollywood walk of fame is a place of legends 🙌 hopefully she will understand that now.
1 Reactions
6 Replies
631 Views
KWA WALE WASIOFAHAMU HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA. JAY MELODY VS Z ANTO
10 Reactions
30 Replies
12K Views
Salam wakuu. Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu background ya ndg yangu, kaka yangu Mrisho Mpoto. Amezaliwa wapi, amesoma wapi na n kabila gank huyu mtu. Uvaaje wake wa magunia source yake n...
2 Reactions
47 Replies
21K Views
Muziki wa singeli umeshika sana wakati huu hasa mikoa ya Pwani, na mikoani kila mtu alitaka kujua ni muziki wa aina gani, si kwamba haukuwepo zamani ila jitihada za Efm zilichangia ushike hatamu...
12 Reactions
55 Replies
11K Views
Anaandika mwanadada Nicole Joy Berry kupitia ukurasa wake wa Instagram: Habari, Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote wenye Nia njema nami. Naomba sana Taarifa za MICHANGO YA FEDHA kwa...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania. Vigezo anavyowapita wengine wote. 1. Anajua kucheza style zote za muziki 2. Ni mbunifu 3. Moves zake zinabadilika 4. Anaweza kucheza...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi...
32 Reactions
191 Replies
13K Views
Wakuu pamoja na kupenda siasa za CCM ila pia mimi ni mnazi mkubwa wa muziki wa Hiphop. Tangu utotoni nimekua nikipenda Hiphop. Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za GWM, Mr II, Dollar Soul, JCB &...
6 Reactions
68 Replies
8K Views
Dwight Yorke amefichua kwamba wakati wa msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku: "Katika miaka yangu ya baadaye Man United, wanawake walikuwa wakinijia kila mara. Nina...
13 Reactions
43 Replies
3K Views
Duuuh hii domestic violence kwa mrembo Nelly ni balaa, mwenye taarifa kamili atupe tafadhali Nifah cocastic
10 Reactions
51 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu, jina la Baraka Mpenja limekuwa sawa na simulizi ya soka la Tanzania. Sauti yake ilibeba hisia za mechi, ikiwasha ari ya mashabiki na kuwafanya wahisi kila mpira uliopigwa uwanjani...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo...
49 Reactions
313 Replies
31K Views
Wakuu Gwiji wa Bongo Fleva, Dully Sykes amuwashia moto kati kati ya kipindi mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kisa Chidi Benz
24 Reactions
83 Replies
5K Views
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa WBO Afrika katika uzani wa middle, Hassan Mwakinyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga akituhumiwa kum-shambulia mtu anayedaiwa...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Binti huyo aitwae Israella (8) alifariki siku ya jumatatu tar 29/3 nchini Kenya alipokuwa anapatiwa matibabu kutokana na matatizo ya mapafu. Hata hivyo, familia imelalamikia kitendo cha Serikali...
9 Reactions
232 Replies
31K Views
Marafiki wa milionea raia wa Zimbwabwe, Genius Kadungure aliyejulikana kama Ginimbi kwa muktadha wa kijamii, wamesema atazikwa na gunia lilojaa Dola, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti...
10 Reactions
46 Replies
8K Views
Kwa leo story kubwa ni pambano linaloendelea uko YouTube kati ya Zuchu na Nandy. Vipi wadau ikitokea Nandy kashindwa kumpita Zuchu mnadhani ndio itakuwa ushahidi kuwa Nandy ameshapotezwa na Zuchu?
2 Reactions
90 Replies
13K Views
Hello.. Nilikua kwenye pitapita zangu nikakuta sehemu zinapigwa ngoma za zamani za bongo fleva.. Ghafla ikapigwa ngoma ya namuimbia ya Pasha aiseeh ilinisafirisha mbali sana kihisia huyu mwamba...
12 Reactions
95 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…