Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
4,974
15,310
Binti huyo aitwae Israella (8) alifariki siku ya jumatatu tar 29/3 nchini Kenya alipokuwa anapatiwa matibabu kutokana na matatizo ya mapafu. Hata hivyo, familia imelalamikia kitendo cha Serikali ya Malawi kuizuia kuruka ndege binafsi iliyokuwa inamuwahisha mtoto huyo hospitali na hivyo kusababisha mtoto huyo kuchelewa kupata matibabu, kitendo ambacho madaktari wanasema kinawezekana kuwa kimesababisha kifo chake. RIP.

Source BBC

1617277479098.png
1617277506294.png
 
Binti huyo aitwae Israella (8) alifariki siku ya jumatatu tar 29/3 nchini Kenya alipokua anapatiwa matibabu kutokana na matatizo ya mapafu. Hata hivyo, familia imelalamikia kitendo cha serikali ya Malawi kuizuia kuruka ndege binafsi iliyokua unamuwahisha mtoto huyo hospitali na hivyo kusababisha mtoto huyo kuchelewa kupata matibabu, kitendo ambacho madaktari wanasema kinawezekana kuwa kimesababisha kifo chake. RIP.

Source BBC

View attachment 1740432View attachment 1740435
Huyu binti kwenye birthday yake mwaka juzi alinunuliwa gari ya kifahari mno...
 
Hawa ndio wana take advantage ya ujinga wa waumini wao and make money out of them!!! He is a wanted man in South Africa. Ana wafuasi wengi tu hata Tanzania!!! Wanawake wanampenda sana!!! Wadangaji wengi ni wafuasi wa nabii huyu kijana.
Huyu si ndo anaefufua watu hadharani?
Hata baadhi ya mitume walifufua watu, lakini nao walikuja kufa... Sio issue mpya na wala haimfanyi mtu asiwe mtumishi wa Mungu. Simtetei Bushiri kama ni mtumishi wa Mungu au la, anayejua ni yule anayedai anamtumikia.
 
Maserati ni gari ghali duniani ambazo zinatumia nembo maalum ya TST (The Satanic Temple).. Yaani hekalu la shetani.. Ili kuficha ukweli huu nembo imewekwa kibiashara zaidi lakini unapofika kwenye masinagogi yao kila kitu kiko wazi
Mojawapo ya kuwa mwanachama hai wa TST ni utayari wa kutoa kafara la damu kwa uzao wako
Na hili hujulishwa mapema kabisa ili kulinda nguvu, umaarufu na utajiri wako.. Na huyo mpendwa wako, ili kuonesha kuwa ndio utamtoa sadaka basi utampa chochote cha gharama chenye chata la TST
Bushiri mwaka 2017 alimnunulia mwendazake kwenye birthday ya kutimiza miaka 6 gari la Maserati lenye thamani ya kama 1.2BILLION
Kwa kawaida mtu unayemuandaa kwa kafara unatakiwa kumpa bata la kufa mtu wakati wa uhai wake kwakuwa hataishi kuona uzee wake
Je hili la Bushiri ni kafara la sadaka kwa TST?
1200px-The_Satanic_Temple.svg.jpg
250968762b7258d1fa27120dafa87d58.jpg
satanic-symbol-icon-sigil-baphomet-666-satan-vector-27055652.jpg
 
Binti huyo aitwae Israella (8) alifariki siku ya jumatatu tar 29/3 nchini Kenya alipokua anapatiwa matibabu kutokana na matatizo ya mapafu. Hata hivyo, familia imelalamikia kitendo cha serikali ya Malawi kuizuia kuruka ndege binafsi iliyokua unamuwahisha mtoto huyo hospitali na hivyo kusababisha mtoto huyo kuchelewa kupata matibabu, kitendo ambacho madaktari wanasema kinawezekana kuwa kimesababisha kifo chake. RIP.

Source BBC

View attachment 1740432View attachment 1740435
Jizi kubwa na linaanza kuaibika
 
Jana ofisini nimesema jamaa katoa kafara binti yake asee nililetewa mtiti na boss ( mwanamke) mpaka nikaomba msamaha

Mpaka niliambiwa eti tayari nimeshatupiwa laana

NB

Sitaki tena mazoea na walokole, nahisi vichwa vyao vimejaa maruweruwe
 
Back
Top Bottom