Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nlipokua naanza mapambano yangu ya mafanikio kielimu na kimaisha fomula hii nliitumia. emu na ww jaribu. "Hata siku moja usitegemee sapport kutoka kwa mtu unaefanana, ama mwenye malengo kama...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Natoa pongezi zangu kubwa kwa Mwana JF Malisa Godlisten kwa kuweza kufunga ndoa siku ya leo Jumamosi katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Moshono jijini Arusha Mjini. Congratulations bro Malisa GJ...
30 Reactions
157 Replies
29K Views
Hivi hizi tetesi za lady jaydee kuimwaga label yake ni za kweli?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo katika pita pita yangu nimepita kwenye account ya instagram ya clouds FM nikaona Video ambayo Alikiba alikuwa ametengeneza tangazo la Coke studio kuonesha kuwa Jumapili hii atakuwa Coke...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hahahahahahaha ujue kuna Vitu inabidi uanze kucheka tena unacheka kwa dharau kubwaa...Kama sahizi unamsikia sana Hamissa mobeto ujue kuwa Wanafiki wapo kazini kuhakikisha wanamtingisha Diamond...
12 Reactions
58 Replies
11K Views
  • Closed
Wakuu hii ishu msipoteze mda wenu 100% kuifuatilia, Diamond platnumz ni mchezo mwingine kauandaa kwa ajili ya kuachia nyimbo mpya ndani ya kipindi cha Leo tena cha cloudsfm na cloudstv Hii...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu, yule dj no 1 in town amehamia rasmi Efm radio na E tv akiachana na Eatv pamoja na radio. Hii ni habari mbaya kwa wale wa Club next door Masaki bila kusahau Jangwani Sea breeze. Alikua...
5 Reactions
61 Replies
16K Views
Kama ulikuwepo kipindi bongo flava ndo inaanza kushika hatamu kukita mizizi bongo basi utakuwa unakikumbuka kipindi maarufu cha bonga na startv kikihostiwa na na mwanadada mrembo maarufu kipindi...
4 Reactions
36 Replies
8K Views
Katika hali ya kuonesha kukerwa na tabia ya Diamond kutoka na mshiriki wa big brother 2013, Dillish Mathews, Zari amepost kwa page yake ya snapchat kuonesha kwamba hachoshwi na batavuzi ndogo...
3 Reactions
97 Replies
21K Views
Baada ya ya moto band kufa, hawa vijana sote tunajua uwezo mkubwa waliokua nao kimuziki huku kila mmoja akiwa na upekee wake kuanzia kuimba mpaka wakiwa stejini. Kwasasa ni wawili tu ndo ambao...
5 Reactions
103 Replies
30K Views
Sio mpenzi sana wa mitandao ya kijamii lakini leo nimeamuwa kupita uko instagram kujionea nini kinaendelea kati ya SEDUCE ME ya kiba na ZILIPENDWA ya wcb, cha kustaajabu mpaka sasa tangu nyimbo...
7 Reactions
12 Replies
5K Views
Wasanii mbalimbali wa tasnia ya Filamu Tanzania wakiongozwa na mwigizaji Steve Nyerere leo September 16, 2017 wamekutana na Waandishi wa habari kuzindua Kampeni ya Uzalendo Kwanza ambao una lengo...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Dillish mathews ambaye anaemekana ndie anammiliki msanii wa bongo fleva Diamond platnumz amezua gumzo mtandaoni baaada ya video yake kuvuja akionekana akiwa na rafiki zake wakifanya mambo ya aibu...
0 Reactions
46 Replies
13K Views
HABARI WANA JUKWAA Nmepitia ukurasa wa Mange Kimambi instagram kuna kampeni kaianzisha ya kumchangia Mh Lissu gharama za matibabu.So kwa ataependezwa juu ya hili apitie ukurasa wa huyo dada kupata...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Have fun watching gold digger pranks....
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Moja ya ishu ambazo zimekuwa zikijadiliwa kila siku hasa katika muziki wa Bongofleva ni kuhusu beef ambazo mara nyingi zimekuwa zikiwafanya baadhi ya wasanii kuingia katika malumbano kwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
"Diamond ni daraja la kiba, Diamond platinum "Simba" anajitahidi sana, sana tena sana kumvuta Kiba awepo kwenye game lakini Kiba nadhani hajagundua jambo. Diamond kama asinge mtupia dongo Kiba...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya Diamond platnumz kupiga mkwanja zaidi ya Billioni moja kutangaza kinywaji cha Blairrre
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Back
Top Bottom