Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Tunaisoma namba eeeh... Si alisema atafanya pati kubwa akifika 30? Mbona kafanya pati ya nyumbani na siyo hyatt level 8?? This time hata passo hakuna. Wakati huohuo zari yeye kanunua benz mpyaaa
1 Reactions
51 Replies
10K Views
Dr Kumbuka mwanaume anayechamba kama mwanamke, mwanaume huyu ni Presenter wa Times Fm, anamaneno kuliko wanawake wa uswahilini, usoni kajipiga kitaulo (Mkorogo). Michambo yake inafundisha zaidi...
3 Reactions
37 Replies
16K Views
Nimekuwa nikiangalia mambo yanayopositiwa kwenye ukurasa Wa instagram Wa Mama Diamond pamoja na Lugha inayotumika haviendani na Mama huyu hasa kwa umri wake!!! Sasa huwa najiuliza ni nani...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Wanajamvi leo picha za harusi ya Zamaradi Mketema aliyekuwa mpenzi wa Ruge bosi wa Clouds media akiolewa na bwana mwingine zimeenea mtandaoni. Cha ajabu nimezungukia page za vijana wa kunyapia...
12 Reactions
72 Replies
16K Views
Aliyekuwa mpenzi wa Ney wa Mitego ambaye pia ni muigizaji wa filamu hapa nchini ,mwanadada Salma Jabu (Nisha)hatimaye afunguka hadharani kuwa anakesha akiomba usiku na mchana ili apate mume...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Kabla ya kutoa Zilipendwa alikuwa amemaliza kutoa nyimbo mbili Fire na Eneka ambazo hata hivo zilichukua siku chache kabla ya kuexpire. Kana kwamba hiyo haitoshi, Siku Mona baada ya Ali Kiba...
6 Reactions
84 Replies
11K Views
Torture numbers and they will confess to anything, Hatuwez kukubali kuwa victims wa numbers wala hatuwezi kuogopa numbers. Kwenye Top100 hundred Songs duniani za Itunes charts East Africa...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
This could be a new era in town, yawezekana mlengwa ni yule wa ROCKSTAR4000, wenyewe husema "Enemy of my enemy is friend."
1 Reactions
47 Replies
14K Views
Michael Jackson sued by Arab sheikh in UK court 11/17/2008 4:00 PM, AP The son of an Arab monarch took the King of Pop to court Monday, charging that Michael Jackson took $7 million as an...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MTANGAZAJI maarufu wa televisheni Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ambaye hivi sasa ni mjamzito, amesema atapenda siku yake ya kujifungua ikifi ka, awe mubashara katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram...
3 Reactions
62 Replies
7K Views
Diamond Platnumz ni mwanadamu ana madhaifu yake kama alivyo binadamu yeyote yule. Lakini katika picha kubwa na kimuziki huyu ndugu yetu anaiwakilisha nchi vyema sana huko nje. Nadhani hili ndilo...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Na kweli wewe ni star mpaka inatokea watu zaid ya kumi kukuzungumzia ndani ya muda mmoja sehemu tofauti tofauti.mpaka mimi kukuanzishia thread na kuna thread kibao kuhusu wewe ndani ya week hizi...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za kunyapianyapia kutoka katika viunga vya mitaa ya kariakoo zinasema msanii huyo anayeamini kuwa yeye ndio bora yupo mbioni kuachia collabo lake na msanii huyo wa kutoka huko duniani...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya: "Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa tunatumia muda mwingi kulumbana na kugombana kwa mambo ya kipuuzi sana,mastaa wenzetu wa Nigeria wanatushinda kwa...
7 Reactions
78 Replies
17K Views
Habar zenu wanajamvi Nimekua nikijiuliza sana bila majibu mbona Beka flavour hayupo katika tamasha hili la fiesta, Kwa anayeweza kufahamu sababu tunaomba atusaidie kutujuza kinachoendelea...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Ni leo hii kupitia akaunt zao za instagram wamerushiana maneno makali huku kisa ni kikiwa ray c kuingilia penz la ruge mutahaba na zamaradi ambao kwa pamoja wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa...
1 Reactions
159 Replies
88K Views
Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, kinachorushwa kupitia Clouds TV, Zamaradi Mketema ‘ Zama ’ amefunguka kuwa , ataongeza tena watoto kwani tangu amejifungua mtoto wa pili ameona nyumba imekuwa...
0 Reactions
37 Replies
13K Views
Akihojiwa katika kipindi cha E News cha EATV Msanii wa bongo movie na bongo fleva Hemed amesema anawatoto zaidi ya sita lakini amekuwa akimpost mmoja kwenye mitandao ya kijamii
2 Reactions
26 Replies
55K Views
  • Closed
Nimeona ni muda sasa mange kimangi amekuwa front line kwa kumkosanisha diamond na mashabiki, imefikia kipindi naona siyo hates kama shabiki bali naona kama kuna kitu kimejificha ambacho kwa sisi...
11 Reactions
192 Replies
17K Views
huwa namuadmire sana mzee wa mafursa hapa nchini ruge wa clouds.naomba mwenye namba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili. pia kama yupo humu anipm
4 Reactions
76 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…