Siku Zari akipeleka kesi ya matunzo ya watoto wawili mahakamani,M10 kwa mwezi,utakuwa mwanzo wa Diamond kufilisika!

papaa musofe

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
843
1,000
Diamond anasema Zari si mkewe? La hasha,kwa sheria za Tanzania,ukikaa na mwanamke miaka miwili na ikathibitika watu wanajua huyo ni mke wa fulani, hiyo ni ndoa,inaitwa presumption of marriage

Na ikivunjwa,zile mali zilizopatikana kipindi cha mahusiano,hugawanywa kwa wanandoa,japo si sawa kwa sawa

Tujiandae kumuona zari akiibuka na Nyumba na Viwanja kadhaa vya diamond,na ninavyomuona zari,ataidaka ile Nyumba ya south afrika na diamond atabaki na kibanda umiza cha madale

Mbali na mwanandoa kupata haki yake, pia kisheria watoto chini ya miaka saba hudhaniwa wanafaa kukaaa na mama yao,hivyo baba wa mtoto hulazimika kuwapa matunzo kwa mujibu wa living standard yao,wamezoea kupata na ndege kwenda south na uganda mara kadhaa kwa mwezi,haya matunzo najua hayatapungua milioni kumi kwa mwezi kwa watoto wawili

Diamond utapiga show mpaka manzese ili upate hela hizo,na bado yule dada uliyezaa naye sijui ataomba mahakama ikuamuru uwe unampa shilingi ngapi kwa mwezi

Nashauri wale waliozaa naye wafunguke kwa wingi na wafungue kesi mahakamani,watakuwa wanajipatia vimilioni vya bure kila mwezi,asipolipa anatupwa segere matata(segerea) akanyee debe

Natabiri tu kuwa utafilisika soon,kipesa na kimashairi,na utajiunga na chidi na Mr nice
 
papaa musofe

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
843
1,000
Acha ramli chonganishi wewe, asubuhi yote hii unamuwazia mwenzio aporomoke, umeshindwa kabisa kuwaza wapi uende hata kuomba kibarua,

DIAMOND hashuki leo wala kesho, na hela za matunzo ya watoto haziwez kumfilisi, UNAJUA DIAMOND analisha familia ngapi mjini hapa?
Hizo familia anazilisha kwa kupenda,sasa hizi mbili atazilisha kwa vipigo vya kisheria,atapondwa pondwa mpaka alainike

Nawashauri wale aliozaa nao na anawalisha kimya kimya wawahi mgao wa mali,kabla jamaa hajafilisika
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,121
2,000
Diamond anasema Zari si mkewe? La hasha,kwa sheria za Tanzania,ukikaa na mwanamke miaka miwili na ikathibitika watu wanajua huyo ni mke wa fulani, hiyo ni ndoa,inaitwa presumption of marriage

Na ikivunjwa,zile mali zilizopatikana kipindi cha mahusiano,hugawanywa kwa wanandoa,japo si sawa kwa sawa

Tujiandae kumuona zari akiibuka na Nyumba na Viwanja kadhaa vya diamond,na ninavyomuona zari,ataidaka ile Nyumba ya south afrika

Mbali na mwanandoa kupata haki yake, pia kisheria watoto chini ya miaka saba hudhaniwa wanafaa kukaaa na mama yao,hivyo baba wa mtoto hulazimika kuwapa matunzo kwa mujibu wa living standard yao,wamezoea kupata na ndege kwenda south na uganda mara kadhaa kwa mwezi,haya matunzo najua hayatapungua milioni kumi kwa mwezi kwa watoto wawili

Diamond utapiga show mpaka manzese,na bado yule dada uliyezaa naye sijui ataomba mahakama ikuamuru uwe unampa shilingi ngapi kwa mwezi

Natabiri tu kuwa utafilisika soon,kipesa na kimashairi,na utajiunga na chidi na Mr nice
Huwa simkubali kabisa Diamond lakini sijawahi kumuombea uchawi kama huu.

Wewe kama ni jinsia ya kiume ukapimwe upya homoni zako unaweza kuruhusiwa kuingia vyoo vya wanawake.

Pambana na hali yako.
 
Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,184

Mama yako na yeye aligawana na mzee wako?
 
papaa musofe

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
843
1,000
Wewe utakuwa mwanaume wa dar, asubihi yote hii unawaza mwenzio ashuke,

Mange kashawafanya manyumbu hadi watoto wa kiume. ,
Uliwahi kula utumbo wa kuku na vichwa? Maana akili zako zinafanana na watu waliokula hiyo kitu
 
papaa musofe

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
843
1,000
Huwa simkubali kabisa Diamond lakini sijawahi kumuombea uchawi kama huu.

Wewe kama ni jinsia ya kiume ukapimwe upya homoni zako unaweza kuruhusiwa kuingia vyoo vya wanawake.

Pambana na hali yako.
U-pu..nga unakusumbua
 
Vicin

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
678
500
Kwanza acha roho mbaya yakumwombea mwenzio mabaya.
Pili presumptio of marriage inatakiwa waishi pamoja. South na tz ni wap na wap? Wapo chini ya dari moja?
 
Jun 27, 2017
11
45
Hakutakuwa na presumption of marriage hapo, diamond hajakaa na zari kwa muda unaotaja, zari ni kama hawara kisheria maana alikuwa anakaa south wakati diamond akikaa tanzania.. (Sijui kama unaelewa maana ya makazi hapo?)

Kuhusu hilo la watoto huwezi mpangia diamond cha kulipa cha zaidi anaweza akaamua kuuza ile nyumba ya South afu zari arudi kwenye nyumba ya ivan..

Mwisho kabisa, punguza chuki usifanye furaha yako itegemee mambo ya mtu fulani kwenda vibaya..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom