Mjomba wa Mke wa Jux ni tafsiri tosha ya kauli ya mjomba ni mama, kijana wetu Jux kayakanyaga
Pozi la mjomba pamoja na madoido akina dada wakasome kwasababu hawaingii ndani
Huyu kijana Juma Lokole anapokuwa kwenye matukio ya kijamii anakaa upande wa Wanawake badala ya kukaa na Wanaume
Hii ni tabia mbaya sana hasa katika utamaduni wetu sisi Watanzania na kwa baadhi...
MOJA ya habari zinazotreni mitandaoni na vyombo vya habari ni iliyokuwa ndoa ya Haji Manara na Zaylissa ambayo imefikia mwisho na inaelezwa mwanadada huyo amepanga kushusha bonge la pati...
Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita...
Habari zilizotufikia hivi punde, Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam.
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Ununio...
Steve Mweusi sijui ana tatizo gani, kuna comedy ambayo waigizaji wake wanafanya masihara na kila mmoja anajua hilo
Lakini Muziki sio aina ya sanaa inayotaka mzaha. Huyu kijana aliimba wimbo wake...
Huyu mkaka ni nani hapa mjini anafanya mishe gani maana huwa namuona akila bata kila mahala dunia mara Marekani mara ulaya mara Dubai mara anaendesha magari ya gharama sana
Anafanya mishe gani...
Tuwe makini sana na Wachungaji na Manabii na Dini zao wanaoibuka enzi hizi.
Kwa bahati mbaya siku hizi za mwisho, watu wanadanganywa sana na wengi wataangamia.
Amani kwenu wadau,
Wiki moja iliyopita niliwaeleza jinsi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la habari Tanzania (TBC), AYOUB RYOBA alivyotaka kupigana na mtangazaji wa EFM Radio, Gerald Hando
Dr. Rioba...
Msanii maarufu wa kundi la Jagwa Music ambaye alikuwa nyota wa kundi kwa sauti yake tamu na Nzuri bwana Jack Simela ametutoka kwa ajali ya gari aliyoipata mkoani Morogoro kwa kugongana na Scania...
Unajua bwana...!
Kila jambo lina muda wake na kila jambo lina wakati wake. Unaweza ukajiuliza wakati ni nini na muda ni nini, natumai unaweza ukajijibu mwenyewe, ila kama utashindwa kujijibu...
Toka wiki iliyopita naona Mwanadada Munalove aliyekuwa mke wa Peter komu sijui makomu (anayemjua atanisahihisha) analeta maombi Instagram Mungu ampitishe kwenye kikombe anachokunywa saivi, anaomba...
MAKALA hii imeandaliwa na
Kaka MWAFRIKA
Alizaliwa kwa majina ya Amri Athuman mnamo 1948
Mkoani Tanga, TANZANIA.
Alisoma shule ya Msambweni iliyoko,mkoani TANGA
Alianza kuigiza akiwa na umri...