Wengi wetu naamini mnajua kwa kina jinsi monii na Roma walivyokuwa washikaji..Na hata lile tukio la kutekwa walitekwa wote.....
Sasa shida imekuja baada ya kurudi uraiani wamekua sio washikaji...
Viongozi wa taasisi ya Uzalendo Kwanza wameamua kujiweka pembeni kwa kile walichodai kwamba hawamuelewi mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.
Chanzo makini kililieleza kuwa viongozi...
Kim Kardashian yupo radhi kufanya jambo lolote ilimradi apate fedha.
Mrembo huyo wa Kanye West amepiga picha za utupu kwa ajili ya tangazo la vipodozi vya KKW Beauty.
Mara ya mwisho kwa Kim...
Naandika ujumbe kwa majonzi makubwa.
Ikumbukwe kuwa Leo kama ilivyokuwa ikitangazwa kuwa ni siku ya wanafunzi kushuhudia show pale mliman city. Mimi kama mmoja wa wanafunzi hao nimeacha madesa...
MAMA SEPETU AFUNGUKA Mama mzazi wa Wema Sepetu amesema kitendo cha mwanae kurudi CCM bila kumuomba ushauri ni kitu ambacho kimemdhalilisha kama mzazi, asema yeye atabakia CHADEMA. Adai...
Aman iwe nanyi wapendwa
Kama kichwa kichwa kinavyosomeka hapo juu
Wale magwiji na wababe wa vita za kiait huko inster wamefutilia mbali acount zenye wafuas wengi za kimbeya mbeya
Acount ya...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Kuna huyu bwana mdogo dimond licha ya kutumia nguvu kubwa lakin zinapotea bure tu
Jamaa anabebwa lakin habebek kabisa...
Mchekeshaji kutoka Timamu, Mama Ashura amesema hakuumizwa na maneno makali katika mitandao ya kijamii kutoka kwa mashabiki wa Alikiba baada ya kumkosoa msanii huyo kwa kukaa muda mrefu bila kutoa...
Video inayosambaa ikimuonyesha Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na mh rais wa zamani mkapa.
Hapo awali inasemekana maisha...
Wadau
Ray C yupo live TBC akiwa Mlimani City ana perform kwenye tamasha la Dar fresher's day.
Ukweli yupo vizuri sana tofauti na niliaminishwa hapo awali.
Mungu azidi kumtia nguvu na afya.
Hii ni orodha ya wasanii ambao kwa mwaka huu umekua mzuri kwao, nikimanisha ndio wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi..
Namba 10- Le Bron James mchezaji kikapu mahiri mwaka huu kaweka kibindoni...
Ndo maana ni vigumu kuona mweusi akiwa sehem ya mamlaka akamnyanyua mweusi mwenziye kwa kumpa tenda atampa mtu wa rangi tofauti tuu ndo maana nchi yetu uchumi umetawaliwa kwa %80 na watu wenye...
Mara nyingi kipindi cha hivi karibuni amekuwa akitoa Audio ambazo huwezi kusikiliza mara mbili sikioni tofauti na mwnzake king kiba
Domond amekuwa akiuza sana kupitia vidio tofauti na Audio maana...
Ulishawahi kujiuliza kwamba maisha yatakuaje kama ungekua na utajiri wa Bilioni 900 za kitanzania.? Fikiria umeipata hicho kiwango kwa siku moja au kwa kujumuisha miaka yako yote..utazitumiaje...
Ipi kati ya maumivu per day (kutoka kwa simba anayepatikana mbuga ya kariakooo) na hii ya waka waka ( kutoka kwa simba anayepatikana mbuga ya tandare) ambayo platnumz kamshirikisha yule mvuta...
habari za majukumu wana jamvii..?
kama kichwa cha uzi kinavojieleza.
Nina ka hotel kangu huko mikoa ya pwani.Tokana na wimbi kubwa la wateja wangu wanapenda singeli.Nimeonelea hawa wasanii...
Msanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, amedai mahakamani kuwa hana uwezo wa kumlipa Mwanamitindo Hamisa Mobeto, Sh milioni tano kama gharama za matunzo ya mtoto kwa mwezi.
Diamond...
Bilionea wa Jiji la Dar es Salaam ambaye kwa sasa amekuwa gumzo Dkt Louis Shika aliyejizolea umaarufu baada ya kuibuka mshindi katika mnada wa nyumba za mfanyabiashara maarufu, Said Lugumi...