MAUMIVU PER DAY vs WAKA WAKA

Libya

JF-Expert Member
Nov 11, 2016
783
1,918
Ipi kati ya maumivu per day (kutoka kwa simba anayepatikana mbuga ya kariakooo) na hii ya waka waka ( kutoka kwa simba anayepatikana mbuga ya tandare) ambayo platnumz kamshirikisha yule mvuta bangi wa malekani (rick Ross)

Binafsi ....waka waka ndo tunnest song in Town...nimekuvulia kofia simba
 
ni mapema mno kuijudge waka waka mpaka pale tutapoachiwa video rasmi ili tujipe nafasi ya kuisikiliza mara mbili tatu hivi...maana baadhi ya nyimbo za chibu bana huwa zinaanza taratiibu kukuingia akilini mwanzoni huwa kama humuelewi hivi ila kadri siku zinavyojongea ndo utamu wa ngoma unakolea.
 
Maumivu per day japo sio rasmi lakini iko poa
Ally kiba hajatoa wimbo bado huo ilikiwa asante ya kuzaliwa
 
Maumivu per day ni wimbo wa zamani sana almost 3yrs ulivujaga kwenye net enzi hizo Ali Kiba akiwa anafanya kazi na Maneck wa AM Records na Ali Kiba alikasirika na kumlaumu producer,hakutoaga redion ila ukawa net kidogo.

Well me binafsi nilionaga ni wimbo mzuri na nikashangaa aliususa kama hadi leo alivyoacha nyimbo zake kwa Abydad nyingi tu kisa wametofautiana na uenda nazo zikavuja!!
 

Attachments

  • Screenshot_2017-12-02-08-24-48.png
    Screenshot_2017-12-02-08-24-48.png
    74 KB · Views: 43
Back
Top Bottom