Mashabiki wa Alikiba siyo real, ni maadui wa Diamond – Mama Ashura

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
3,415
2,042
Mchekeshaji kutoka Timamu, Mama Ashura amesema hakuumizwa na maneno makali katika mitandao ya kijamii kutoka kwa mashabiki wa Alikiba baada ya kumkosoa msanii huyo kwa kukaa muda mrefu bila kutoa wimbo.

Mwaka huu alikosoa vikali utaraibu wa Alikiba kukaa kipindi kirefu bila kutoa wimbo kitu ambacho kilipelekea kushambuliwa kwa maneno makali na team Kiba.

“Hao mashabiki Alikiba mwenyewe hawajui, halafu hawapi hata sapoti, mashiki wa Alikiba siyo wale real kabisa ni maadui wa Diamond,” amesema.

“Wanakuja kwa upande wa Alikiba wao wana-take advantage ya kumsapoti huyo ambaye yupo tofauti na huyu lakini wangekuwa real wasingekuwa wanatumia matusi,” Mama Ashura ameiambia Times Fm.

Katika hatua nyingine alimtaja Alikiba kama msanii asiyeonyesha ushirikiano kwa mashabiki wake na wale wanaomsapoti katika mitandao ya kijamii.

“Eric Omondi alitoa cover ya Zilipendwa na Seduce Me, Diamond alicomment ‘asante’ lakini Alikiba!!!! (hakufanya hivyo)” amesema.
 
Kuanza kutoka c kuwa na mashabk... Kuna wasanii weng wa zaman akiwemo Kiba hawamzidi Mond kwa mashabk
Thibitisha...ukikumbuka kwamb kiba alipokuwa kimya mlichukua tuzo 7 liporud na mwana akachukua 5 zake mkabaki na 2 na mkasusa, hiyo n ktma na ilipokuja african nafca mkakutana na kiba akajibebea mbili nzuuur mbele yenu wakat alipokuwa hayupo alibeba huyu bwana mkataa watoto..hy twende kaz mashabiki zake mlikuwa wpi?
 
Aisee tulianza mshabikia king kiba tangu domo yupo tandale anauza siso domo anajipa jeur tu sasa bt moyoni nae n timu kiba kaimba sana cinderela pumbav zake,now kapata watu wenye akili za mama ashura anajifanya kujisahaulisha puuumbav,then msifos king aish kama domo kila mtu ana life style zake,kama unafurahishwa na ya mond sisi tunafurahishwa na ya bichwa thats why tupo upande wake all the tym..pole mama ashura [HASHTAG]#PAMBANANAHALIYAKO[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom