Video: Inasemekana msanii wa muziki Ferouz hali ngumu akiuza Samaki Mchele kitaa

ObieTrice

Senior Member
Jun 27, 2017
159
154
Video inayosambaa ikimuonyesha Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na mh rais wa zamani mkapa.
Hapo awali inasemekana maisha yake yalikuwa magumu na pia ni mtumiaji wa madawa ya kulevya!
 
Maisha ni kama kioo ukicheka nayo yanacheka.

Hakuna kitu kibaya hapa Duniani kama shida.

Maisha kupambana.

Maisha ni kitendawili,Maisha ni fumbo.

Tuendelee kupambana na changomoto za Maisha.Amina
Umenifanya nitafakar mara mbili mbili.
 
Ili si la kutetea.
Hela zake za muziki kapeleka wapi?.
Ilo ni funzo fainali uzeeni.
Tujifunze kuweka akiba.
Alikuwa na mawazo ya kujiweka vizur kuliko haya, but life sio hadithi ya kutunga, let pray sana tusipitie wanayopitia wengine
 
DUNIANI KUNA MAMBO

HUWEZI KUJUA KAMA KUNA MAMBO MPAKA LIKUKUTE JAMBO

USIWE MWEPESI WA KUWAHUKUMU WATU KAMA HUYAJUI YA MTU

ANAYEJUA UZITO WA MKONGA NI TEMBO MWENYEWE ANAYEUBEBA

USIONE UKADHANI

3b01dc93bd35d47e68209abacb59fafb.jpg



NB
KAMA NI KWELI HUYO KWENYE VIDEOCLIP NDIO HUYO KIJANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom