Habari wanajamvi hebu tusalimiane na kufahamiana kidogo tukiumalizia huu mwaka... mfano: habari! naitwa James.. anayefuata..habari James naitwa Husein.. anayefuata.. habari husein naitwa Fadhila...
Baada ya kuona vijembe vikiendelea na maneno kuwa mengi kwenye mitandao ya kijamii kati ya Hamisa Mobetto na Zari na kuonekana kama upande wa Diamond Platnumz unadaiwa kuwa umeamua kumsapoti Zari...
Naisubiria kwa hamu siku yake ya kuzaliwa Abdul Naseeeb mtoto halali wa Diamond Platnumz a.k.a Muuza Karanga na Hamisa Mobeto Chuchunge au ukipenda muite mbu (Anopheles) nataka kuona kama kweli...
Miss Tanzania 2010 GENOVIVA MPANGALA, SIJAWAHI KUMTAMKIA KUMPENDA JAPO NILIKUWA NAMTAKA KIMAPENZI.
Mimi Deo Kisandu, Nakumbuka ilikuwa kati ya Mwaka 2012 au 2011 tulikutana Lushoto, Tanga akiwa...
Msikie hapa..
Hana shida na mtoto wa Mobeto..makosa ya wazazi si makosa ya mtoto. Yuko tayari kumpokea mtoto.
My Take...
Huyu mwanamke nafikiri akili zake si za Africa. Ana akili kubwa sana...
Msanii Nikki wa Pili ambaye ni miongoni mwa wasanii wachache wanaofanya uchambuzi wa masuala mbali mbali ikiwemo uchumi wa taifa, ametupa jiwe gizani kuhusu sera mpya ya viwanda.
Kupitia...
Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika mwaka 2017 amehangaika kulipata penzi la mwanadada Wema Sepetu kiasi cha kuamua kwenda kwa mganga wa kienyeji mara tatu...
Kama umekuwa mfatiliaji wa online tv kuna hii Masanja tv ina mwanahabari anaitwa Yusuph Magupa, jamaa ana kipaji sana sema Masanja TV pale siyo mahali sahihi kwake.
Jamaa anahitaji mtu ampe...
Leo boxing day tarehe 26 msanii Alikiba aliahidi kufanya tamasha kubwa la funga mwaka na kushukuru mashabiki zake pamoja na kuzindua bidhaa zake mpya sokoni katika eneo la Escape one
Lakini...
Tunakupenda ww na mzazi mwenzio Chibu mnajitahidi sana kujitoa kwenye social media najua ndo sehemu ya maisha yenu mana bila hivyo nafikiri mngepotea ,
Una watoto 5 uliowazaa mwenyewe basi na...
Mimi naanza na Jide na Mwana FA!
Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako...
WAPENDWA BWANA YESU ASIFIWE;
kutokana na maisha magumu na yaliyojaa na kila aina ya mkanganyiko wanadamu wengi tumexchanganyikiwa na kukuta tunafanya mambo yasiyokuwa sahihi.kibaya zaidi naamini...
Ndugu zangu wana JF mie sie mpenzi sana wa hili jukwaa ila kwa siku ya Leo imenibidi niingie hivyo hivyo
Miaka 7 nyuma Tanzania ilipiga hatua kubwa sana kwenye tasnia ya filamu na tasnia hii...
"Diamond is on probation and is managing well so far. I can even date 100 men because I love being loved, even if I leave Diamond today I will date someone else tomorrow. Diamond is still fighting...
Mafikizolo alikuwepo na tingdis alikuwepo tatizo zari ali alika watu wengi mno ila mondi kanunua pombe chache mno ndo kisa watu kusepa mapema na kuwaacha wamatumbi wa wcb pekeyao.
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Lagos jana palikuwa na show ya kukata na shoka pale mwamba wa africa adeleji au wizkid alipoitisha show ALIYOIPA...