Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wanasema "Like Father, Like Son" naona mtoto wa zari na aliyekua mpenziwe marehem Ivan Don, Raphael, ameanza kufata nyayo za baba yake baada ya kuonekana akiwa na mabunda ya hela huku akileta zile...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Umofia Kwenu wana JF, Habari zilizonifikia hapa minjingu ni kwamba msanii wa sinema za kibongo aliyetamba na movie ya swahiba,Rich mtambalike alias Rich Richie ameshusha mjengo wa ghorofa moja...
2 Reactions
47 Replies
12K Views
Mtalaka wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu", Faiza Ally alijikuta akizuiwa kuingia katika ofisi za RITA jijini Dar es Salaam kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha. Askari...
10 Reactions
121 Replies
15K Views
Leo katika pitapita zangu nikaona nijaribu kueleza kidogo juu ya umri wa dada yangu wa Igunga Zuwena au maarufu kama Shilole. Nimemkumbuka kwa mambo mawili; Mosi kama mtu ambaye aliwahi kuwa...
18 Reactions
101 Replies
24K Views
Baada ya kununua mercedes mpya model ya 2017 mara baada ya kufiwa na mumewake na kuanza ku control biashara za mumewe, leo tarehe 5jan 2018 zari kanunua gari mpya suv aina ya audi mara baada ya...
3 Reactions
84 Replies
18K Views
[emoji121] WAKUU, Kwa wajuzi wa Old Schooled Bongo Flava wanamtambua huyu JAMAA WA kuitwa SUMA G AKA MZEE WA VITUKO USWAHILINI, POMBE, TUNAJISALITI n.k. Katika harakati zangu nimemwona jamaa...
1 Reactions
44 Replies
10K Views
Mkubwa Fella amejitoa sana kuwasaidia wasanii wadogo hadi kufika mafanikio ...ambayo wao wasanii wanamkubali kila siku. Nimesikiliza Sporah akiwahoji vijana wa Yamoto Band Fella amewasomesha hawa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Mwanamuziki mkongwe na maarufu Afrika Mashariki na Kati ambaye alikuwa anatokea nchini Kenya Gabriel Agoya Omolo anayejulikana kwa wimbo wake maridhawa wa ‘Lunchtime’ wimbo ulioimbwa mwaka 1970...
2 Reactions
14 Replies
8K Views
Kwa habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba mwanamuziki ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa hapa nchini na Africa kwa ujumla Diamond Platnums Chibu Di Chibu De a.k.a Muuza Karanga anataka...
5 Reactions
114 Replies
22K Views
Serena Williams amefunga ndoa na mwanzilishi mwenza wa Reddit Alexis Ohanian katika harusi kubwa iliojaa mbwembwe za aina yake ya mwaka huu. Nyota akiwemo Beyonce, Kim Kardashian na Eva Longoria...
11 Reactions
83 Replies
17K Views
Mi nadhani mimba za utotoni zitapungua naungana na wewe dada ray c
8 Reactions
110 Replies
10K Views
Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hayawezi kufichika. Msemo huu umethibitishwa na couple inayokuja kwa kasi kati ya Queen Darlin na Maromboso . Mboso alijitahidi sana kuficha ficha lakini...
6 Reactions
92 Replies
29K Views
Mie tangu Shenaz afariki basi sina hata ham ya kutazama DVD za mipasho sasa je ni mwanamke gani kachukua nafasi yake huko Ilala au Kariakoo?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni steve wa bongo movie,anaumwa sana za chini ya kapeti na imefanywa siri lo ila shishiii ndio katujulisha yakaibuka mengine tena binti analalama,,sina mengi leo
16 Reactions
181 Replies
15K Views
Wema Leo amepost picha zake Kali baada ya kufuta post zake zote za mwaka Jana. tangu mwaka mpya uanze Leo Ndio kapost picha zake cha kushangaza sio Kama kawaida ilivyokuwa awali, Zamani ilikuwa...
6 Reactions
122 Replies
12K Views
Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai...
2 Reactions
190 Replies
61K Views
Tanzania kuna vituko aisee,huyu Mbongo movie alishawahi kuhojiwa na kusema yeye haangalii bongo movie( sekunde 0:35-0:43) leo nimemuona kwenye maandamano ya ku support bashite kuzuia movie za nje...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…