ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Tanzania kuna vituko aisee,huyu Mbongo movie alishawahi kuhojiwa na kusema yeye haangalii bongo movie( sekunde 0:35-0:43) leo nimemuona kwenye maandamano ya ku support bashite kuzuia movie za nje kuingizwa bongo ili zao ziangaliwe
personality disorder ya hali ya juu au njaa imewatandika mpaka akili zimekaa sawa?
Katika maandamano hayo wasanii wa Bongo Movie walisikika wakiimba.
“Movie za kikorea, Kihindi kwisha” wengine wakiitikia “Kwisha kabisa”.
“Hatutaki movie za nje, hatutaki movie za nje”
“Bai bai, bai bai, bai bai….”
“Uzalendo, uzalendo, uzalendo…”
Hayo yalikuwa baadhi ya maneno waliyokuwa wakiimba kuweka msitizo kuwa kwa sasa kazi zao ndiyo zinatakiwa zipewe kipaumbele ili sanaa iwanufaishe wasanii wa Tanzania na siyo vinginevyo.