WAKATI bebi wake, Nasibu Abdul Diamond Platnumz akiugulia maumivu ya kuzomewa
na mamia ya mashabiki wa muziki katika Tamasha la Fiesta jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wikiendi iliyopita ...
Leo nimepata muda wa kuperuzi nikaona mahojiano ya huyu mwanamitindo na timu ya mkasi huko youtube,huyu mwanamke amejisifia hadi kama wahusika wameshindwa kuendana na kasi yake,kipindi kimegeuka...
Nimaona kionjo chake kidogo, ngoma iko poa japo sijajua kama ni official release kwa kuwa Jason hajaiweka kwa page take ya IG. Vijana was WCB wanazidi kuchanja mbuga.
Dar es Salaam. Msanii wa filamu, Vincent Kigosi maarufu ‘Ray’ amesema kitendo cha kumvisha mtoto wake hereni ni kutokana na kuwa nyota kama yeye.
Ray amesema hayo alipozungumza na MCL Digital...
"MAELEZO YANGU HAYA YATAONDOA UTATA WOTE NA HOPE MTANIELEWA"
Kiruuuuuuuuuuuuuuuu wananchi wenye hasira kali angalieni msinitoe roho!
Kwa yeyote niliyemkwaza anisamehe bureeee..
Wacha...
Msanii wa muziki bongo Rachel maarufu kama Rachel Kizunguzungu, amefunguka juu ya sakata lake la kwenda nchi za Uarabuni na kukutwa na mabalaa, ikiwemo kutumia madawa ya kulevya na kutelekezwa...
Habari za ijumaa wakuu
Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Kumekuwa na promo nyingi sana kumhusu aslay na nandy , kutoa nyimbo mbalimbali pamoja, kufanya shoo...
Daaah huyu jamaa niliwahi kusema akirudi kuimba Tena Dunia itasimama.
Yasome mashairi yake hapa.
Verse 1.
Dunia inazama, naangalia,
Sina cha kufanya,moyoni naumia.
Mawazo yangu oh, naangamia...
Hivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo.
Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya...
Wasanii wa kizazi kipya Aslay pamoja na mwanadada Nandy wanaoendelea kufanya vizuri na kibao chao cha 'Subalkheri mpenzi' wanatarajiwa kuburuzwa Mahakamani kutoka na kuimba wimbo huo bila ya...
MTANGAZAJI aliyewahi kujiachia kimalovee
na Nasibu Abdul Diamond , Penniel Mungilwa
Penny amesema mwanamuziki huyo kwa
sasa alie tu kwani ameshachumbiwa na
hawezi kumpata tena
Kauli ya...
Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz' amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam' kwa...
Nadhani nimechelewa sana kujua nyimbo za huyu fundi wa nyimbo za injili Ambwene Mwasongwe,jamaa anaimba vitu vinatouch kinyama
Nasikiliza hapa wimbo unaitwa CHOZI LA HAKI.
Huu wimbo ni touching...
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kudai kuwa mwigizaji Van Vicker wa Ghana, alichania kwa kiasi flani, kupelekea aachane na aliekuwa mpenzi wake, Diamond.
Kwamujibu wa...
Ni sheedah ! Pamoja na kukanusha kwa kutumia nguvu kubwa , nyuma ya ushosti wa mastaa grade one wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ' Beautiful Onyinye ' na Aunty Ezekiel kuna siri nzito...
Supastaa wa Bongo, Wema Sepetu‘ madam' ameanika siri zilizojificha nyuma ya pazia kati yake na aliyekuwa mume wa mwanamuziki nyota wa Uganda, Zarina Hassan ' Zari ', Ivan Semwanga...
MWANADADA asiyeishiwa habari , Beautiful Onyinye , Wema Isaac Sepetu ' Madam' anadaiwa kujutia mimba yake aliyopachikwa na aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo , marehemu Steven...
JINA la Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na...
Lile gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz' alilompa aliyekuwa mwandani wake , Beautiful Onyinye , Wema Isaac Sepetu ' Madam'...