KABAAANG! Wakati supastaa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' akitembea kifua mbele huku akijinasibu kuwa anasubiri kwa hamu kupata mtoto kutoka kwa mchumba wake, Zarinah Hassan ‘Zari'...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Ee bhana ee yule dada yetu wa taifa komando machozi jide mwenyewe kanishukia kama mwewe huko inster
Mimi...
Nyimbo zenyewe ni Far Away ft Vee money,Baila na Kosa Langu....Nikiweka ushabiki pembeni asee,huyu bwana mdogo hafai,hafai,hafai....narudia tena Diamond hafai kwenye kupambanishwa na msanii...
Orodha hii ya video zisizopendwa sana za YouTube ina video za juu 40 zilizo na zisizopendwa zaidi wakati wote, zilizopatikana kwenye chati za YouTube.
Hesabu za nyimbo zisiyopendezwa...
Baada ya kuwepo kwenye matibabu takribani wiki tatu zilizopita nchini India, hatimaye msanii wa filamu, Wastara Juma anatarajia kurejea nchini wiki hii.
Habari kutoka kwa ndugu wa karibu wa...
salaam sana.naomba niwataje wasanii wa muziki (hususan bongo fleva) ambao naamin hawastahili kuwasahau kwa vyovyote vile watayarishaji wa muziki(producers) kwakua wametoka nao mbali
1.Ali...
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Kati ya huu mgogoro unaondelea chin chin kati ya wasafi na clouds nimegundua NGUVU YA UMMA IKO NYUMA YA DIOMOND...
Watu wa mikoani malalamiko yenu nimeyasikia ila na mimi nina ya kwangu pia naomba myasikilize kwa umakini ili tuweze kwenda Sawa .
——————————————————————————————————————————————————————
Ukitoa...
Nakumbuka mwaka 2001 kwenye chati ya nyimbo kumi za Bongo Fleva kwenye kituo cha Radio One Stereo, pale mtangazaji wa kipindi hicho alipoitangaza ngoma iliyoshika nafasi yakwanza.Mtangazaji...
Muimbaji wa muziki raia wa Norway, Makihiyo ameachia nyimbo iitwayo ‘Ni Wako’ akiwa amemshirikisha mkali wa muziki wa R&B Bongo, Ben Pol. Huyu mzungu anasema sababu ya kuimba kwa Kiswahili ni kuwa...
Mtambo unawashwa sio muda mrefu.tuanze kupendekeza majina ya watangazaji wa media yetu wanyonge tumsaidie president wa WCB.
Mapendekezo yangu
Kipindi Cha muziki wa kisasa akae Sky walker...
Niende moja kwa moja kwa huyu mwamba joslini mzeee Wa pafyumu yaani alitikisa balaaaa na baadhi ya nyimbo zake kama niite mpenzi,mshikaji mmoja,maisha yanatisha ft nuruel,huyu demu simwelew ft...
Salute comrades..
Leo namleta kwenu mchekeshaji na mwigizaji maarufu kutoka Afrika kusini Leon Schuster aka Mr bones.
Kwa wapenzi wa filamu basi watakua wanamfahamu huyu jamaa .
Anaitwa Leon...
February 19, 2018
Mwanamitindo maarufu Nchini Tanzania amealikwa ktk Makazi ya Malkia Buckingham Palace ya London Uingereza. Mustafa Hassanali amepata nafasi ya kualikwa kuhudhuria maonesho ya...