Mke wa msanii wa muziki Dogo Janja, Irene Uwoya ametoa majibu juu ya habari zilizopo za mumuwe kutaka kuongeza mke wa pili hadi wanne.
Uwoya ametoa majibu hayo baada ya kukuta habari zimezagaa...
Hello guys..
party rock anthem ni wimbo uloimbwa na kundi la lmfao, uli-hit sana zile enzi za 2011, cjui sahiv hawa jamaa wako wap, kila nkiusikilizaga ule wimbo huwa natamani ku-dance
wana...
Kuna tetesi zinazoenea kwa kasi King Kiba kamtelekeza mtoto wake kama tetesi hizi zinaukweli ndani yake hii ni aibu Kubwa kwa msanii mkubwa Africa na Tanzania kwa ujumla.
Nina uhakika 100% Wilder hana uwezo wa kumkalisha Floyd licha ya Floyd kuwa na uzito mdogo kuliko Wilder lakini kila nikiwaweka wapinzani wa Wilder wanaochakazwa uwanjani nafasi yao nikimuweka...
Binafsi nilikuwa mpenzi mno wa hii blog, lakini toka mwaka Jana mwanzoni mpenzi yangu yalitoweka kabisa.
Kuna sababu kadhaa zilizopelekea kuichukia hii blog ambazo ni Pamoja na:
Habari zake...
Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amedai anawachukia wanaume wenye rangi nyeupe kwasababu wanakuwa na matatizo mengi pindi anapokuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi ndio maana kwa sasa...
Habari zenu wana jf
Naombeni uzii huu usichukuliwe kiushabiki bali uchukuliwe kama haki ya kila mtu kutoa ya moyoni pasipo kuvunja sheria
Kwa mda mrefu msanii Alikiba amekuwa yupo kwenye game la...
Huyu bwana mdogo kwanza namuelewa saaana na namkubali mnoo kwa uchapaji wake wa kazi...
Kila mtu anajua sas hivi yupo busy na kuitambulisha album yake mpya ya A boy from Tandale...
Leo nimepita...
Amani
Amani ni hali ya raha na salama bila ugomvi; ni kinyume cha fujo au vita.
Mara nyingi hali za amani ya nje na amani ya ndani hutofautishwa.
Amani ya nje au amani ya kisiasa na kijamii...
Nimeweza kumfahamu Munishi kupitia nyimbo, makala na video zake zinazoikosoa CCM wazi wazi kwamba kimezeeka na ni chama cha majambazi, hivyo kiondolewe madarakani. Hivi karibuni kaja na madai ya...
Hii ni summary ya interview aliyofanya na Dizzim online radio.
Nazindulia A boy from tandale album nchini Kenya sababu mimi ni msanii wa east africa sio wa Tanzania pekee.
Rick Ross...
Kwa kweli, huyu Dk anayemchoma sindano huyu mwanamama atakuwa ni moja ya ma doctor wenye furaha sana duniani. Sipati picha akianza kutafuta ule mshipa wa tako ...
Daaah yaani leo nimevurugwa...
Mike Tyson warns Anthony Joshua that being heavyweight champion is like being the US president
Alan Dawson, Business Insider UK,
World heavyweight boxing champion Anthony Joshua can reign for a...
Msanii wa muziki Bongo, Afande Sele (Mfalme wa Rhymes) amemvaa vikali msanii mwenzie, Mrisho Mpoto kufuatia madai kuwa alihusika kutoa baadhi ya wasanii katika wimbo maalum uliotungwa kwa ajili ya...
Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, amezindua nguo zake mpya za ndani (boksa) ambazo zimepewa jina la Spring/Summer 18 CR7 (SS18 CR7).
Kwa mujibu wa tovuti ya...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Janja ambaye ni mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Pancras Uwoya, ameweka wazi sababu za kupangiwa ratiba na mke wake huyo, jambo ambalo lilizua...