Dogo Janja afunguka sababu ya kupangiwa ratiba ya kupewa unyumba na mkewe Irene Uwoya

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Janja ambaye ni mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Pancras Uwoya, ameweka wazi sababu za kupangiwa ratiba na mke wake huyo, jambo ambalo lilizua kizaa zaa baada ya kuiweka kwenye mtandao

25037386_161555907802550_2597331886858567680_n.jpg

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dogo Janja amesema alishtuka baada ya kuona ratiba hiyo imebandikwa ukutani alipoamka, na kueleza sababu zake.

“Nilikuwa nimelala nimeamka nikakutana na ratiba kwenye ukuta, nikaangalia duh!! nikaipost insta. Unajua yule ni mshkaji wangu sana alikuwa ananitania, na yeye ndiye alianza kuipost, na kimvua hiki uniambie ratiba!!? Atadondoka mtu”, amesema Dogo Janja

Wawili hao walifunga ndoa ya kimya kimya jambo ambao wengi hawaamni mpaka leo kuwa ni wanandoa, na pia kutokana na tofauti ambazo wanaonekana wanazo za kiumri.

Chanzo: EATV
 
Kwàhiyo leo kapewa???
Kesho hapewi
Dogo janja leo kafàidi toto jeupeeeee
hahaaaa kuna wanao muona taka mkuu "" wewe tafuta pesa tu"" if angekuwa ana worth thamani hiyo unayo mvisha asinge kwenda kuolewa na kale katoto
 
SAWA ENDELEENI KUPEANA TU MINYENYERE......WIMBO MPYA WA DONGO JANJA ULIOJIPODOA UNAITWAJE?
 
Basata iwafungie..wanazalilisha wanandoa hawa...how can you mention this this in the public. Wakawaambie wazazi wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom