Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema msanii Diamond anafaa kuwa balozi wa maadili kutokana na ushawishi alionao kwa sasa. Waziri Mwakyembe amesema hayo...
3 Reactions
24 Replies
6K Views
Mbunge wa Mikumi, Muheshimiwa Joseph Haule au Professor Jay amefunguka na kusema tatizo linalosababisha kufungiwa kwa wasanii na kazi zao mara kwa mara ni kuwepo kwa mrundikano wa watendaji...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Ikiwa imepita miaka takriban mitano tangu isambazwe propaganda kwamba wakati wa Jide umeisha kwaio ilimbidi akabidhi kijiti kwa msanii mwingine wa kike. Kwa mtazamo wako unadhani ni nani...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Akiunga mkono kauli aliyotoa Diamond wakati anahojiwa na TimesFm.... Joti nae ameunga mkono msimamo wa Diamond wa kutokubali kubuluzwa na media. Diamond kwa kujiamini alisema wakati wa kuwa...
18 Reactions
65 Replies
11K Views
Wakati mrembo wetu Wema akiwa hapa Tz akituonyesha wowowo, yule mshindan wake kutoka Uganda amewasili kwa mualiko rasmi wa kupiga deal ya tangazo la pampers hapa Tanzania. Hongera Zari fanya kazi...
7 Reactions
112 Replies
17K Views
Kipindi ametoka na ngoma zake mbili za kwanza 'Libebe' na 'Sikinai' nilihisi amebahatisha hivyo sikumpa attention kubwa kivile, ila kwa sasa nimejisajili kuwa fan wake rasmi, this man is [emoji91]...
3 Reactions
37 Replies
14K Views
Inasemekana matajiri wengi wakubwa wa level ya Forbes akiwemo Bill Gates na watu mbalimbali mashuhuri duniani walihudhuria. Kwa mujibu wa mtangazaji wa runinga nchini Kenya, ndugu Jeff Koinange...
10 Reactions
227 Replies
41K Views
Msanii Maua Sama ameeleza sababu ya kuachia picha ambazo si za kawaida kabisa kutoka kwake, Picha hizo ambazo zilimuacha wazi sehemu kubwa ya mapaja yake aliziweka mtandaoni kati ya February 19...
4 Reactions
64 Replies
32K Views
Mod Msiunganishe huu Uzi tafadhari. Kutokana na kile nilichokiona jana kuhusu Diamond na Wizara ya Habari,Sanaa na Utamaduni kumuandalia kikao Diamond na timu yake inadhihirisha waziwazi kuwa...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimejaribu kuvunga sana ...sema nimeshindwa labda mi sina sikio la studio lakini nadhani jux amekuwa na style moja ya kuimba ..yan nyimbo zjmekuwa na ladha moja ..mpka zina kinai mana watu...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Baada ya mtifuano wa Diamond na Naibu waziri Shonza, baba yake Diamond mzee Abdul Juma, ameibuka na kusema kitendo cha mwanaye kimemsikitisha sana na ni mwendelezo wa yale ambayo amekuwa...
2 Reactions
95 Replies
14K Views
Hakika wimbo mpya wa Lady Jay Dee unaoitwa nani anaweza kusimama ni wimbo mzuri mno kuanzia ujumbe mpaka rhythm yaani kiukweli,komando bado anadhihirisha ni moto wakuotea mbali
7 Reactions
27 Replies
6K Views
Mwanaharakati mashuhuri katika mitandao ya kijamii hasa instagram, Mange Kimambi amefunguka na kusema kuwa kuna kitu kikubwa msanii wa muziki wa hip-hop Roma anataka kukifanya lakini amekaa kimya...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amewahakikishia wananchi kuwa serikali haina ugomvi wowote na wasanii nchini bali wanachofanya ni kusimamia maadili katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mama yake na 50 cent alikuwa msagaji anathibitisha mwenyewe kwenye wimbo alioshirikiana na The Game ninanumnukuu,"Coming up I was confused my mama kissed a girl, Daddy was not around, I wanna live...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
  • Poll Poll
wote tunakubali kua kwa misambwanda tu hapa bongo bas mungu kawajaalia hawa mastaa wawili mizigo ya haja lakini napata wakati mgumu kujua nani ni kajaaliwa zaidi ya mwenzie:confused: em nanyie...
0 Reactions
64 Replies
13K Views
Msanii Lady Jaydee ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram jinsi alivyompotezea mfanyakazi wa kituo kimoja cha tv aliyekuwa akimteta: "Juzi tu wakati na promote wimbo, nilienda kwenye TV...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Wasalaam wana jamvi Kama mnavyojua fika kuwa kuna mgogoro kati ya WCB na media za IPP na Clouds....lakini hadi sasa mgogoro huu kwa kiasi kikubwa umekuwa ukiwaathiri sana watangazaji wa media...
6 Reactions
37 Replies
8K Views
Kale kademu Mina Ali kamenifanya nichukie hiki kipindi cha Amplifaya cha clouds sababu ya utani wake wa kitoto...... hapo kabla Ayo alikuwa anaenda nacho vizuri na u-serious wa...
6 Reactions
34 Replies
5K Views
Usiku wa 900 itapendeza ni shoo/hafla inayotarajiwa kufanyika 9 Disemba 2017 Uwanja wa Dar Live kumtambulisha dr.Shika kwenye muonekano mpya wakibilionea na Kumpongeza kwa kushindwa kushinda...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…