Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wadau,hii picha nimeingalia mara tano nakujikuta kana macho yangu yananiambia huyu ni gwiji la Fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kitama) Ali Remtulla...nimejikuta nashangazwa na hilo pozi lake mbaya...
10 Reactions
238 Replies
41K Views
Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo...
5 Reactions
171 Replies
20K Views
Hawa ni wale wasanii ambao bado hawajaukubali ukweli na kila wakihojiwa wanasema wanaanda album au kuna kazi zao zinakuja mashabiki wasikilizie tu; 1. Q Chief 2. TID 3. Baraka da Prince 4. Young...
11 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuimba mwenyewe, beat mwenyewe pia.
1 Reactions
7 Replies
472 Views
Kiungo mkabaji wa Yanga, Khalid Aucho, ameweka wazi maisha yake binafsi kuwa hajaoa mpaka sasa, lakini anataka mwanamke ambaye atampenda kutoka moyoni na si kwa sababu ya pesa zake au umaarufu...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Nina rafiki zangu identical twins,walizaliwa wanafanana kila kitu, Ilikuwa ngumu kuwatofautisha Kupanga ni kuchagua,Kurwa aliamua kusoma sasa yupo TRA Doto ni dalali tu mtaani Sasa tofauti yao...
15 Reactions
60 Replies
5K Views
Kama kuna bibi wa ovyo nchini ,Kajala yumo,anaulizwa kuwani kiungo gani kwenyemwili wake anakipenda zaidi anajibu eti makalio yake. P Funky ana roho ngumu sana,enzi za ujana wake kakimbiza sana...
26 Reactions
129 Replies
7K Views
Nay wa Mitego amekanusha madai ya Mange Kimambi kwamba amelipwa Milioni 100 na muda wowote atatangaza kuhamia CCM "Unaona mimi ni wa million 100 kweli.?! career yangu ina thamani kubwa sanaaaa...
10 Reactions
74 Replies
6K Views
#Porojozabongo "Usipojua kutafuta, utatafuta sababu ya kutokutafuta." "Unaelewa hiyo methali?" anauliza bongo, akiinamisha kichwa katika draft "Bado naitafakari," akajibu mgogo, akimtazama...
4 Reactions
5 Replies
381 Views
Tory lanez was reportedly stabbed in prison and rushed to a nearby hospital.
0 Reactions
3 Replies
497 Views
Ukumbi wa Super dome ulishangazwa na tukio la majiz,tajiri wa EFM na ETV kutinga ukumbini na nguo za bei chee pale tandale ambapo mgeni rasmi alikuwa rais Samia Suluhu Hadsan, Jamaa alitinga T...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
1. Sijaona awards wala msanii/ Sanaa toka Tanganyika kwenye MVCA. Kazi za sanaa mmeingiza siasa. Kimataifa mtapasikia Tu. 2. Kenya na Kiswahili chao cha kuunga wananyakua awards kama zote (Hata...
2 Reactions
4 Replies
530 Views
ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE! WARAKA WANGU LIVE KWA NDUGU YANGU MARKO: Nimeusoma kwa MASIKITIKO MAKUBWA SANA WARAKA WAKO WA Baadhi ya Makundi katika Jamii kutaka KUKUMALIZA NA HASA...
74 Reactions
230 Replies
22K Views
Video ikimuonyesha the disgraced rapper P Didy akimbusu mama Yake. Acha ale tu mvua za kutosha! Nyau de adriz
2 Reactions
11 Replies
904 Views
Rihanna amethibitisha kuwa ni mjamzito wa mtoto wa tatu baada ya kuonyesha ujauzito wake hadharani kwenye hafla ya Met Gala 2025. Msanii huyo maarufu alitinga kwenye zulia jekundu akiwa amevaa...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar. Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada. Bado hakuna...
37 Reactions
802 Replies
151K Views
Mega hitsong ya Juma Nature ni inaniuma sana. Kwenye ule wimbo nature ameelezea mapenzi yake na mwanamama Sinta. Kuna mstari anasema alikuja kwangu usiku. Usiku huo anaozungumzia Nature ni...
14 Reactions
108 Replies
8K Views
Said Said aondoka kwa aibu baada ya kuzuiwa na Walinzi wa Rais Samia alipotaka kumkabidhi Kitu kutoka mfukoni mwake baada ya ku-perform kwenye Samia Kalamu Awards. Wadau mbalimbali wa Sanaa ya...
4 Reactions
59 Replies
4K Views
Mai wa Jesse anasema haiwezekani Mond huyu aliejenga Brand yake kwa Gharama kubwa eti aende tu Nigeria kujichoresha kumfuta machozi na kamasi Jux katika harusi😂😂👋🏼. Hata mimi nimefikiria sana...
15 Reactions
105 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…