Katika pitapita zangu Youtube, nimemwona huyu chalii amefanya cover nzuri ya Je, Utanipenda nikamwelewa sana.
Kwanza ana sauti nzuri, ana mwonekano wa kisanii, anaonekana ni mpole na hana...
Baada ya masaa takribani 13,tangu hit maker wa African Beuty na King of Pop in Afrika ambaye bado anasumbua na ngoma aliyoshirikishwa na harmonize "Kwangwaru,Diamond Platnumz maarufu kama Chibu...
Hii ni makala inayohusu malejendari wa muziki wa hiphop duniani ambao mpaka leo hii wanaheshimika na kuenziwa duniani kote na wapenzi wa muziki kutokana na kutendea haki tasnia ya muziki wa kufoka...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo janja ambaye sasa hivi ameachia video ya wimbo wake mpya wa 'Wayu wayu' na kuacha gumzo kwa mashabiki kwa kuvaa uhusika wa mwanamke, na kusema kuwa mke wake...
Marehemu Albert Mangwea Ngwair alikua na msanii mwenzake wa bongo flavor ajulikanae kama M2-THE-P miongoni mwa wasanii waliokuwa marafiki wa kundi la CHAMBER SQUAD.
Habari zinasema kua hali ya...
So the talk in the hip-hop community right now is Drake taking an L from Pusha T.
I heard they are even playing the ‘story of Adidon’ in Toronto!
That’s gotta hurt, man.
Pusha T done bodied...
Msanii wa bongo fleva maarufu nchini , Diamond Platinumz kwa mara ya kwanza amefunguka na kuzungumzia swala lake la kuachana na Zari na kumuomba radhi mwanamama huyo ambapo taarifa za hapo awali...
Namsikiliza Msanii Q Chillah Muda Huu, Sielewi hata Anataka Nini? Huruma Ya Watu Ama? Kuacha Muziki mbona ni Mambo ya Kawaida Sana! Wengi Wameacha, Aache Kulia Lia
Ila Bujibuji huyu kakako anapenda drama jaman
Leo anawaambia akina Kiba na Mondi kuwa waache Uzinzi, Sio wanazaa zaa tu ovyo na wanawake
Alafu anasema anampenda sana yule dada Aliyeimba wimbo...
Msanii wa bongo fleva Diamond Platinumz amepanga kuanzisha tamasha lake litaloitwa Wasafi Festival ambalo inatarajiwa litakuwa tamasha pinzani na lile la fiesta linaloendeshwaga na Clouds media...
Msanii mkongwe wa taaarabu nchini Khadija Kopa amefunguka na kuzungumzia hali ya taarabu ilivyo sasa nchini na kusema kuwa wasanii wengi wamekuwa jeuri na kwamba hawajitunzi kama zamani hivyo...
Mrisho Mpoto,sijui kwanini huwa hajiamini ktk Muziki.
Kila wimbo anaoimba lazima afanye Featuring na msanii mwenzake ili abebwe ktk kiitikio(chorus) bila ya hivyo jamaa angekua bado ni msanii...
Harmo juzi juzi alikuja hivi..ikawa balaa..
Mjomba akamuwahi..shughuli ikawa balaa
na mwaka jana mwishoni kashirikishwa pamoja sex lady yemi alade
hii nyingine ya jana hatari sana...
New couple in town?!
Hii ni kutoka Insta ya Nicki.
Alipoulizwa na fan kama wana date.
"You dating Eminem???" ... Nicki akajibu with a simple, "yes."
Kwenye album yake mpya iliyo njiani, Nicki...
Anaitwa Golden boy akiwa ni msanii WA Bongo flavour na hiphop anazidi ongeza kasi kwa nyimbo zake Kali ikiwemo natamani na kibelenge aliyo shirikishwa na msanii jito fire bofya hapa kuskiliza...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amemtaja msanii ambaye anamkubali kati ya Alikiba na Diamond pamoja na kutoa sababu zake
Akiongea na...