Q Chillah anahitaji msaada gani?

Unajuwa tatizo lake? kwanza hataki kuacha mziki anachotafuta huruma afanye mziki. baya zaidi anataka afanikiwe bila kufanya kazi kwa bidii kidogo anadhani kafika. muziki ni kama league unamaliza mechi unawaza kushinda tena. Muziki sio sauti tu ni nidhamu na hard work pia good management yeye ni kuwa na nidhamu ya hali ya juu na kubwa zaidi aache kuimba kizungu katika muziki wake maana soko unataka la ndani kizungu hakina nafasi.
 
Wasanii wasasa wanatakiwa wa jifunze, hamna msanii atakayekuwa on fire milele, hata kama upewe promo kila sekunde utashuka tu. Kipindi ambacho upo on peak ndio, kipindi cha kufanya investment (hata kama ela unayopata ni ndogo),mwisho wa siku ndio mtaishia kulia lia, ili uonewe huruma . Kingwendu ana hit song moja lkn amejenga, sasa huyu ana hit song karibia kumi,lkn hata kibanda cha kulala mwenyewe hana.Wenzake Mabaga fresh wapo Kariakoo wanandesha Bajaj, Joslin anauza kiepe Sinza na yy afikirie cha kufanya hapa mjini.
 
Sijui wasanii wa Bongo akili zao zikoje,pesa alizokua anapata hakununua hata viwanja walau viwili,leo hii angeuza,angenunua hata bajaji angekua anaingiza kiasi fulani cha mboga,daah!so sad.....umaarufu bila mipango thabiti lazima uje upate shida!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom