Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Habati za majukumu wanajamvi nmeona simu anayotumia Msukuma(mbunge wa Geita vijijini)nikasema ngoja tuone kwa pamoja na tujue maoni ya wengine... Namnukuu “Simu yangu naipenda sana maana ina...
2 Reactions
76 Replies
11K Views
Baada ya Uzalendo kumshinda Mama ake Hamisa, amevunja ukimya nakumuombea Msamaha mtoto wake Huyo Wa pekee .Kama kuna popote mwanae kakosea yeye Kama mzazi hafurahishwi kinachoendelea Kwa mwanae...
6 Reactions
560 Replies
26K Views
Habari wanajamvi..hapa bongo kuna wasanii ambao ukiwaangalia na kuwafikiria,unaweza ukajiuliza "hivi huyu asingekuwa msanii angekuwa anafanya kazi gani"??.sasa mimi binafsi ninao wasanii kadhaa...
6 Reactions
70 Replies
11K Views
Iko poa sana na Roma kavunja sana
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ningependa kupata historia fupi ya huyu dada hadi hapo alipofikia. CC:@warumi;@dinazarde nifah@evelynsalt geniveros
0 Reactions
92 Replies
25K Views
Ni hivi unapofanya ibada kama kusaidia yatima then unakwenda na makamera ili uonekane na public kimsingi dini yoyote ile haikubalini na sadaka za aina hii na ukweli hupati swawabu yoyote kwa...
4 Reactions
65 Replies
7K Views
Wasafi TV kupitia instagram account yao wamepost picha ya kwanza ikumuonesha Diamond Platinumz akiwa South Africa na wanae. Bila shaka hii ni habari njema mno kwa team Diamond na team Zari, na...
5 Reactions
35 Replies
7K Views
MSANII: HARMONIZE FT DIAMOND PLATNUMZ WIMBO: KWANGWARU UTANGULIZI Wimbo wa "Kwangwaru" ni wimbo ulioimbwa na Harmonize akishirikiana na Diamond Platnumz wote ni wasanii kutoka lebo ya WCB...
11 Reactions
41 Replies
17K Views
Kupitia ukurasa wake wa twitter mmoja wa wana hisa wa Jamii Media, Mike Mushi ameandika maneno mazito kwenye issue ya Diamond na Hamisa. Mike alikuwa akijibu habari iliyoandikwa na mtandao wa...
1 Reactions
87 Replies
9K Views
Katika ukurasa wa instagram wa tttrautouprades , wabunifu na waongeza vionjo vya shape za magari makali wameonyesha ndinga jipya la diamond platnumz [emoji116] [emoji91] Hongera sana kijana...
9 Reactions
191 Replies
40K Views
Wadau wa tasnia ya burudan ya bongofleva kwanza rejea kwny mada tajwa hapo juu. Kwny tasnia ya muziki wa hip hop tuna Faridi Kubanda aka Fid Q binafsi naona ni mtu ambae anapewa heshima sana na...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
Habari Jf Aisee Msanii Q Chillah Anakipaji kikubwa sana ila Tatizo pombe zinamzidi nguvu....Kuna song moja amefanya na msanii anaitwa clicker nyimbo yenyewe inaitwa Sidimba yaani ...nibonge la...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakazi ameshindwa kuvumilia na kutoa ya moyoni kuhusu msanii was kike Rosa Ree, Wakazi Amefunguka kuwa baada ya Vanessa Mdee Msanii anayefuata kwa juhudi katika mziki ni Rosa Ree , Ameandika haya...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) ambaye pia ni msanii nguli na mkongwe kwenye game ya hip hop ya bongo, anatarajia kuachia kazi yake mpya hivi karibuni aliyoipa jina la namba yake ya...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mkoa wa Mbeya ni mkoa uliojaliwa kuwa na vipaji sana. Leo naona tuwakumbuke kwa kuwataja hao watu wenye asili ya huko na waliouletea mkoa huu sifa kubwa ndani na nje ya Tanzania 1. Omary...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Pole sana Ruge,,ile Degree yako ya marketing uliyosoma USA haikusaidii sana Mkuu.. Hili kwa sasa linalokutokea puani kijana wewe wa miaka 49 nadhani hukusoma alama za nyakati na bahati mbaya...
19 Reactions
167 Replies
22K Views
Wazazi waleeni watoto wenu katika njia sahihi. Miradhi bora kwa mtoto ni maarifa mema na si hulka za kijinga na angamizi. Mama msaidie huyo binti. Kuolewa siyo mtaji wa maisha. Angalua siyo...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Mwanamfalme wa Uingereza Harry na mchumba wake muigizaji wa Marekani Meghan Markle watafunga ndoa mwakani, taarifa iliyotolewa na makazi ya kifalme ya jijini London (Clarence House) imeeleza...
6 Reactions
1K Replies
93K Views
Daaah Wanaume wa Dar Tenaaa!! Ndugu wanaJF, Rapa wa Kike Chemical akihojiwa Leo na Enewz ya EATV amesikika akitamka kuwa Bikira yake pendwa alokuwa ameitunza kwa muda mrefu hatimaye imetolewa...
4 Reactions
49 Replies
11K Views
Back
Top Bottom